adriz Accumen Mo Kikwajuni One The Boss Bwana Utam STRUGGLE MAN Mufti kuku The InfinityMwache tu Wakristu na hawashughuliki na mambo madogo ndiyo maana hawaoni haja kugombania nani kachinja japo kwenye mdudu tunabanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adriz Accumen Mo Kikwajuni One The Boss Bwana Utam STRUGGLE MAN Mufti kuku The InfinityMwache tu Wakristu na hawashughuliki na mambo madogo ndiyo maana hawaoni haja kugombania nani kachinja japo kwenye mdudu tunabanana.
Mkuu hupo? Ni kitambo umepotea jamvin. Unazunguka tu kwenye kiti pupwe likikupuliza ofisini picha ya mama ikining'ia mbele yako ukutani kwa juu kidogo.Majitu kwa chuki? Alikiba alikua anauliza NYIE NI WAKRISTO KWELI? YAANI BADALA YA KUWA BIZE NA MSIBBA wao wapi bize kutandika maphotp koitu ambacho si ukristo
Kama mnakula mdudu si mle mpaka mlazimishe na sisi tule😂huoni kama mnatumia nguvu kula mauchafu yenu ?
Lala weweeKama mnakula mdudu si mle mpaka mlazimishe na sisi tule😂huoni kama mnatumia nguvu kula mauchafu yenu ?
Kwani mbona mnajishtukia waislamu wakina nan wakila mnadiss sana !?.
😂😂Mnalazimisha jamani hatupo tayar kufuata mila ya mayahudi na manaswar.Lala wewee
Si kauli ya sawa hii ..Sasa unarekodije msibani? Dini zingine bwana. Ningekuwa Raisi ningechinja wakristo wote
Bampa to bampa na ali kiba kaa na chawa wake😂😂😂😂Wewe unasikia vizuri kweli au ndio unamtetea mvaa makobozi mwenzio
Kubwa jinga wa hapa Jf utaendelea kuwa mjinga pengine kufa ukiwa mjinga hivyo hivyo...HAWA WASWAHILI HAWAMJUI YESU KRISTO WANAMJUA ALA SHETANI WA KUZIM....!!!!!!!
Wagalatia wamecharuka..
Ndio maana nakuita kubwa jinga asili ya neno Kafiri ni kiarabu na lina maana yake Kilugha na Kisheria .Huwezi kuelewa maana na matumizi sahihi ya hilo neno kama haujui Kiarabu.Neno kafiri limeandikwa miaka 3000 kabla ya Kuanzishwa kwa UISLAMU na kuja MTUME MCHENZI......
Ndio maana nakuita kubwa jinga asili ya neno Kafiri ni kiarabu na lina maana yake Kilugha na Kisheria .Huwezi kuelewa maana na matumizi sahihi ya hilo neno kama haujui Kiarabu.
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.
Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba kutoa kauli ambayo sio nzuri au inayoonekana kudharirisha Dini ya Wakristo. Mimi binafsi kama Chief Lumanyika nimechukia sana na kupelekea kwenda kwenye Account yake ya instagram na kumu-unfollow hili nisiwe naona post zake.
View: https://youtu.be/C3rMRxBCXRU?si=giuRLLh1MAzofSfh
Kitendo hicho cha kukashifu Dini ya Wakristo kimetokea ambapo kwenye Video watu wanaonekana wapo kwenye mazishi na hatua za kuzika mwili wa marehemu ambapo Ali Kiba aliona kama anarekodiwa na watu, ambapo akaonekana kustaajabishwa na kutoa kauli ya "Nyie ni wakristo?", Akiwauliza vijana ambao ndio walikuwa wakimrekodi Ali Kiba hapo msibani.
Kutumia neno "Nyie ni wakristo", ni Disrespect na ni kitendo cha kumaanisha kuwa Dini ya wakristo ndio ya wafanya uovu, au ya watu wasiofaa, au ya watu wa ovyo. Kwamba Wakristo sio watu wa kuheshimu Mazishi. Cha kushangaza Tanzania ni nchi yenye Dini nyingi wakiwemo wapagani, lakini kitendo cha yeye kusema moja kwa moja kuwa nyie ni wakristo bila ya kujua hao watu anaowauliza ni Dini gani ni kutokuheshimu Dini ya kikristo. Kwa sababu Tukio hilo lingeweza kufanywa na mtu yeyote hata ambaye ni Muislamu ambaye ni wa Dini yake, budha au mpagani.
Kauli hii ya Ali Kiba pia imezua hoja mitandaoni kupelekea watu kuchukizwa na Kauli hii, na moja ya account ambayo nimeona watu wamechukua ni kwenye Instagram page ya Bongotrending Habari.
Hakuna sehemu yoyote kwenye Dini ya wakristo wanaposema tuwarekodi watu kwenye mazishi au wakiwa msibani. Hivyo hata ikitokea mkristo anarekodi mazishi, basi hiyo ni hulka yake binafsi na haina uhusiano wowote na Dini ya kikristo.
Ali Kiba anapaswa kuomba Radhi au Wakristo tuanze kuzisusia nyimbo zake kama jinsi wasanii wa Marekani na nchi nyingine wanavyofanyiwa wakizingua. Mimi staki kumuona tena, nimefuta hata nyimbo zake.
Hiyo ni tafsiri yako wala neno Kafiri halimaanishi kama ulivyotafsiri wewe,Mkuu tuache uzi wa watu uendelee, hili sio la mleta uzi...
Mistari katika Biblia iko mingi sana na haki inayotajwa nimeeleza kwenye comment iliyopita...
Asiye haki =kafir
Aliye haki = non kafir
karir hapa ina maana kama ambavyo uislam unatafsiri maana ya kafir...
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.
Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba kutoa kauli ambayo sio nzuri au inayoonekana kudharirisha Dini ya Wakristo. Mimi binafsi kama Chief Lumanyika nimechukia sana na kupelekea kwenda kwenye Account yake ya instagram na kumu-unfollow hili nisiwe naona post zake.
View: https://youtu.be/C3rMRxBCXRU?si=giuRLLh1MAzofSfh
Kitendo hicho cha kukashifu Dini ya Wakristo kimetokea ambapo kwenye Video watu wanaonekana wapo kwenye mazishi na hatua za kuzika mwili wa marehemu ambapo Ali Kiba aliona kama anarekodiwa na watu, ambapo akaonekana kustaajabishwa na kutoa kauli ya "Nyie ni wakristo?", Akiwauliza vijana ambao ndio walikuwa wakimrekodi Ali Kiba hapo msibani.
Kutumia neno "Nyie ni wakristo", ni Disrespect na ni kitendo cha kumaanisha kuwa Dini ya wakristo ndio ya wafanya uovu, au ya watu wasiofaa, au ya watu wa ovyo. Kwamba Wakristo sio watu wa kuheshimu Mazishi. Cha kushangaza Tanzania ni nchi yenye Dini nyingi wakiwemo wapagani, lakini kitendo cha yeye kusema moja kwa moja kuwa nyie ni wakristo bila ya kujua hao watu anaowauliza ni Dini gani ni kutokuheshimu Dini ya kikristo. Kwa sababu Tukio hilo lingeweza kufanywa na mtu yeyote hata ambaye ni Muislamu ambaye ni wa Dini yake, budha au mpagani.
Kauli hii ya Ali Kiba pia imezua hoja mitandaoni kupelekea watu kuchukizwa na Kauli hii, na moja ya account ambayo nimeona watu wamechukua ni kwenye Instagram page ya Bongotrending Habari.
Hakuna sehemu yoyote kwenye Dini ya wakristo wanaposema tuwarekodi watu kwenye mazishi au wakiwa msibani. Hivyo hata ikitokea mkristo anarekodi mazishi, basi hiyo ni hulka yake binafsi na haina uhusiano wowote na Dini ya kikristo.
Ali Kiba anapaswa kuomba Radhi au Wakristo tuanze kuzisusia nyimbo zake kama jinsi wasanii wa Marekani na nchi nyingine wanavyofanyiwa wakizingua. Mimi staki kumuona tena, nimefuta hata nyimbo zake.
Acha Majungu, Aliwah kukukataa nini? Mnapenda wanaume mikia ya Mbwa ndo mjione wa thamani.Hukionagi kama kichokoraa fulani kinajishaua hakina hata lolote anadharau na huku anamtegemea Mo yaani tz hakuna wakunitisha wote ni maskini tu sema wapo kidaraja huyo sio superstar huyo ni mwehu na mchukiaga sana . Kina sura kama kenge mbuzi hata ukiamua kumpika haivi haliki kwa kachumbari au nini .
Mke wake kasepa kanatunzwa ni kamario kazee
Umeandika kama mtu aliyepeleka akili zake likizo na kutembea na kiwiliwili tu.Hukionagi kama kichokoraa fulani kinajishaua hakina hata lolote anadharau na huku anamtegemea Mo yaani tz hakuna wakunitisha wote ni maskini tu sema wapo kidaraja huyo sio superstar huyo ni mwehu na mchukiaga sana . Kina sura kama kenge mbuzi hata ukiamua kumpika haivi haliki kwa kachumbari au nini .