Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

ili iwe fundisho na onyo kwa mastaa wengine wenye mashabiki mchanganyiko wa dini mbalimbali wasithubuti kataja taja dini fulani wasiyoiabudu katika mukhtadha usioeleweka
Kabisa aisee umenena vyema... Mastaa wasitaje Dini za watu zisizokuwa zao hovyo
 
Write your reply...OSMAN TAMTHLIA NINI KIKO NYUMA YAKE?ILE TAMTHLIA IPO KWAJILI YA KUITUKANA UKRISTO NAKUITA MAKAFIRI.AZAM WANA AGENDA YAO NYUMA YA TAMTHLIA ZILE ZA KITURUKI
 
Write your reply...OSMAN TAMTHLIA NINI KIKO NYUMA YAKE?ILE TAMTHLIA IPO KWAJILI YA KUITUKANA UKRISTO NAKUITA MAKAFIRI.AZAM WANA AGENDA YAO NYUMA YA TAMTHLIA ZILE ZA KITURUKI
Basi ndio maana hata hawa wanapata wavaa kanzu wameanza kejeli kwa ukristo
 
Vaa pampasi unanuka kwanza 😁
Najua mimba ndio inakusumbua... Wanawake mkishapataga mimba mnaanza maudhi madogo madogo mara kutaka radi iliyochemshwa mara kutaka mawingu yaliyokaangwa mara kutuambia waume zenu tunanuka
 
Najua mimba ndio inakusumbua... Wanawake mkishapataga mimba mnaanza maudhi madogo madogo mara kutaka radi iliyochemshwa mara kutaka mawingu yaliyokaangwa mara kutuambia waume zenu tunanuka
Acha kujieleza juma lokole mie nishakwambia vaa pampasi au unataka nikufukue tena au unataka ya alikiba akakuingize range msenge wew
 
Kwa nini vitu vidogo hivi mnachukulia serious namna hii?
ukiwa star kauli zako huwa very sensitive, na inabidi upate elimu ya kuongea kulingana eneo ulipo na aina ya watu unaongea nao. Kauli yako ina athari chanya au hasi. Pia namna ya kuvaa nako ni vilevile kama kuongea
 
Mleta mada wala huelewi ulichokiwakilisha hapa,unaendeshwa na chuki tu,umesema Kiba kauliza "Nyie ni wakristo?" Hilo ni swali kauliza na sio hoja,wewe umejuaje kua hilo swali kaliuliza kisa kupigwa picha? Kumbe angeuliza "nyie wapagani?" Au "Nyie waislamu?" Wewe ndio ungeona sawa?
Mleta mada ni Ile aina ya watu wanaojisifu kuwa wasomi na huita waislamu km watu wa Elimu ya madrasa ...amesukumwa na mihemko nongwa ,chuki na hasadi tu.
 
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.

Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba kutoa kauli ambayo sio nzuri au inayoonekana kudharirisha Dini ya Wakristo. Mimi binafsi kama Chief Lumanyika nimechukia sana na kupelekea kwenda kwenye Account yake ya instagram na kumu-unfollow hili nisiwe naona post zake.

View: https://youtu.be/C3rMRxBCXRU?si=giuRLLh1MAzofSfh
Kitendo hicho cha kukashifu Dini ya Wakristo kimetokea ambapo kwenye Video watu wanaonekana wapo kwenye mazishi na hatua za kuzika mwili wa marehemu ambapo Ali Kiba aliona kama anarekodiwa na watu, ambapo akaonekana kustaajabishwa na kutoa kauli ya "Nyie ni wakristo?", Akiwauliza vijana ambao ndio walikuwa wakimrekodi Ali Kiba hapo msibani.

Kutumia neno "Nyie ni wakristo", ni Disrespect na ni kitendo cha kumaanisha kuwa Dini ya wakristo ndio ya wafanya uovu, au ya watu wasiofaa, au ya watu wa ovyo. Kwamba Wakristo sio watu wa kuheshimu Mazishi. Cha kushangaza Tanzania ni nchi yenye Dini nyingi wakiwemo wapagani, lakini kitendo cha yeye kusema moja kwa moja kuwa nyie ni wakristo bila ya kujua hao watu anaowauliza ni Dini gani ni kutokuheshimu Dini ya kikristo. Kwa sababu Tukio hilo lingeweza kufanywa na mtu yeyote hata ambaye ni Muislamu ambaye ni wa Dini yake, budha au mpagani.

Kauli hii ya Ali Kiba pia imezua hoja mitandaoni kupelekea watu kuchukizwa na Kauli hii, na moja ya account ambayo nimeona watu wamechukua ni kwenye Instagram page ya Bongotrending Habari.

Hakuna sehemu yoyote kwenye Dini ya wakristo wanaposema tuwarekodi watu kwenye mazishi au wakiwa msibani. Hivyo hata ikitokea mkristo anarekodi mazishi, basi hiyo ni hulka yake binafsi na haina uhusiano wowote na Dini ya kikristo.

Ali Kiba anapaswa kuomba Radhi au Wakristo tuanze kuzisusia nyimbo zake kama jinsi wasanii wa Marekani na nchi nyingine wanavyofanyiwa wakizingua. Mimi staki kumuona tena, nimefuta hata nyimbo zake.

acheni kurekodi watu misibani na kwenye ajali huo.sio uungwana
 
Kuwa maarufu haimaanishi ujinga unaondoka kichwani. Kumbuka huyo ni zero brain tu. Hana elimu, hana la maana zaidi ya kuimba mambo ya kikafir ambayo ata dini yake haitaki. Ni sawa mi niseme waislam ndio wanaongoza kwa uchafuzi wa maadili nchini. Angalia wasanii, watu maarufu wengi ni dini gani.
 
Back
Top Bottom