92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Kuna kuheshimu na kujua utaratibu mfamo mimi sijui utaratibu ila nina heshima ikatokea nimevunja utaratibu kwa kutokujua mtu akaniuliza kwa utashi wake aliopewa na Mungu wewe ni dini fulani sitokarika kwakua sijui utaratibu. Kikubwa mambo yasiwe mengi dini zina kila aina ya ugomvi na mambo madogo tuKosa ni kuuliza kwa kutolea mfano Dini ya wakristo... Kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili, namna alivyouliza swali ni kumaanisha Wakristo ndio uwa hawaheshimu mazishi