Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
- Thread starter
- #81
Narudia tena mwambie Ali kibarango wenu aache Dharau kwenye Dini za watu la sivyo tutamuwashia moto tuue kazi zake za sanaa... Tutafanya hiyo massive protest kwenye mitandao hajawai ona... Hawezi kuleta ujinga kwenye Dini za watu...Una matatizo ya akili,wazazi wako wana hasara kubwa sana kuzaa punga.
Na wewe muarabu Fighter ukileta mambo ya kuwa Keyboard warrior kwenye post yangu... Hapa matusi ndio mahali pake