Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

HII AWAMU YA SITA WAKRISTO MNALALAMIKA SANA
Faiza akikomenti MNALALAMIKA
Mohamed said akileta Uzi MNALALAMIKA
Alikiba akisema tu MNALALAMIKA
Salim Kikeke kafuga ndevu MNALALAMIKA
Mama ameteua mawaziri juzi WAKRISTO wapo wengi MNALALAMIKA
Bandari apewe muwekezaji MNALALAMIKA..

Nyie hamna subira na uvumilivu ...
Hahahahaa....
 
kwani qaswida ina nini cha maana? Ni upuuzi kama upuuzi mwingine hakuna mkristo anayesikiliza upuuzi huo. Wapi uliona kwaya wamevaa nusu uchi? Uwe na uelewa wa mambo usi generalise mambo jaribu kuwa mchambuzi utapata ukweli wa mambo
Mfano Rose Muhando na madancer wake wanakatika na kubinuka matako huku wanaimba 'Yesu nibebe' unaona sawa?
Halafu nywele wanawake hawafuniki
wanavaa vimini magoti yanaonekana.
Ndo nusu uchi hiyo.
 
Mfano Rose Muhando na madancer wake wanakatika na kubinuka matako huku wanaimba 'Yesu nibebe' unaona sawa?
Halafu nywele wanawake hawafuniki
wanavaa vimini magoti yanaonekana.
Ndo nusu uchi hiyo.
kwa hiyo rose muhando unamuona ndio role model wako kuhalalisha hoja yako? Aliyekuambia rose muhando ameokoka?
 
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.

Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba kutoa kauli ambayo sio nzuri au inayoonekana kudharirisha Dini ya Wakristo. Mimi binafsi kama Chief Lumanyika nimechukia sana na kupelekea kwenda kwenye Account yake ya instagram na kumu-unfollow hili nisiwe naona post zake.

View: https://youtu.be/C3rMRxBCXRU?si=giuRLLh1MAzofSfh
Kitendo hicho cha kukashifu Dini ya Wakristo kimetokea ambapo kwenye Video watu wanaonekana wapo kwenye mazishi na hatua za kuzika mwili wa marehemu ambapo Ali Kiba aliona kama anarekodiwa na watu, ambapo akaonekana kustaajabishwa na kutoa kauli ya "Nyie ni wakristo?", Akiwauliza vijana ambao ndio walikuwa wakimrekodi Ali Kiba hapo msibani.

Kutumia neno "Nyie ni wakristo", ni Disrespect na ni kitendo cha kumaanisha kuwa Dini ya wakristo ndio ya wafanya uovu, au ya watu wasiofaa, au ya watu wa ovyo. Kwamba Wakristo sio watu wa kuheshimu Mazishi. Cha kushangaza Tanzania ni nchi yenye Dini nyingi wakiwemo wapagani, lakini kitendo cha yeye kusema moja kwa moja kuwa nyie ni wakristo bila ya kujua hao watu anaowauliza ni Dini gani ni kutokuheshimu Dini ya kikristo. Kwa sababu Tukio hilo lingeweza kufanywa na mtu yeyote hata ambaye ni Muislamu ambaye ni wa Dini yake, budha au mpagani.

Kauli hii ya Ali Kiba pia imezua hoja mitandaoni kupelekea watu kuchukizwa na Kauli hii, na moja ya account ambayo nimeona watu wamechukua ni kwenye Instagram page ya Bongotrending Habari.

Hakuna sehemu yoyote kwenye Dini ya wakristo wanaposema tuwarekodi watu kwenye mazishi au wakiwa msibani. Hivyo hata ikitokea mkristo anarekodi mazishi, basi hiyo ni hulka yake binafsi na haina uhusiano wowote na Dini ya kikristo.

Ali Kiba anapaswa kuomba Radhi au Wakristo tuanze kuzisusia nyimbo zake kama jinsi wasanii wa Marekani na nchi nyingine wanavyofanyiwa wakizingua. Mimi staki kumuona tena, nimefuta hata nyimbo zake.

kwani we uliyeandika huu uzi nawe mkristo???
 
Hukionagi kama kichokoraa fulani kinajishaua hakina hata lolote anadharau na huku anamtegemea Mo yaani tz hakuna wakunitisha wote ni maskini tu sema wapo kidaraja huyo sio superstar huyo ni mwehu na mchukiaga sana . Kina sura kama kenge mbuzi hata ukiamua kumpika haivi haliki kwa kachumbari au nini .

Mke wake kasepa kanatunzwa ni kamario kazee
we utakuwa mkristo wewe!!!
 
Tatizo la huyu mtoto wana mkuza sana huku hana anachokijua.........na kichwa chake kipana kama tofali la kuzibia chemba
 
Binafsi nimeoa muislam na Dada yangu ameolewa na muislam ila toka suala la Dp world lianze na namna mnavyolazimisha kila baya liwe la Ukristo nimetoka kuwadharau sana. Nimekulia Moro na Tanga kwenye waislam wengi na nilikuwa nawaheshimu sana ila sasa, Dah nawaona vilaza. Sababu reasoning capacity yenu ni ndogo sana. Mfano kwenye hili jambo la kusema Wakristo ndio huwa wanarecord misibani na ndio utaratibu wa dini yao. Nimekuuliza wapi utaratibu huo umewekwa rasmi kwa wakristo?Je picha nikakutolea na mfano hizo hapo juu zimerekodiwa na nani kwenye mazishi ya muislam? Unaweza sema kuna mkristo akaenda simama mbele ya mashehe hao na kurekodi picha na video?very loweka and Pathetic. Byeeeee.
Asante sana kaka kwa ufafanuzi mzuri, hawa wazee wamekuwa wakiandama wakristo hata kwenye mambo yanayofanywa na waislamu wenzao, wapagani au watu wa Dini nyingine
 
Unanipotezea muda mkuu, byeeeee umeshinda basi jaribu kuficha uchi wa akili yako. Hivi kuna mkristo aliyeemda kuzika muislam akaenda kupiga picha ya namna hiyo mbele ya mashehe kweli. Bro usitumie makalio kufikiria kwa sababu ya udini. Sijui kwanini kila jambo baya mnausingizia Ukristo? Jamaa mmoja mpagani kule Sweden kuchoma quran lawama inapelekea kwa Ukristo. Jamaa zikioana dume kwa dume, ushoga unalaumiwa na kuhuzunishwa na Ukristo. Juzi TEC wameandika waraka wao na hawajataja dini wala kumtaka mtu, unahusishwa na Ukristo. Sijui kwanini mnalazimisha uadui kwa imani isiyojuhusisha nanyi? Nikisimama barabarani na kuhubiri kuwa Yesu ni Mungu, nitatukanwa na kugombea bila kosa. Leo mwamposa anafanya huduma yake ila kila siku mashehe kumuita Nabii wa uongo. Mungu awasaidie kwa kweli.

Mimi sibishi ili mradi nibishe tu mkuu ,mimi naangalia mantiki ,sipelekeshwi na mihemko ya Utimu wala udini,ukiona mtu hoja zake anaingiza matusi ujue huyo hamna kitu ,wewe kila ukiandika lazima utie matusi...Jenga hoja acha lugha za kashfa...Na hapa wala hatushindani na si kila mtu anayemtetea Ali kiba basi ni muislam mwenzake.
 
Garbage
 
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.

Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba kutoa kauli ambayo sio nzuri au inayoonekana kudharirisha Dini ya Wakristo. Mimi binafsi kama Chief Lumanyika nimechukia sana na kupelekea kwenda kwenye Account yake ya instagram na kumu-unfollow hili nisiwe naona post zake.

View: https://youtu.be/C3rMRxBCXRU?si=giuRLLh1MAzofSfh
Kitendo hicho cha kukashifu Dini ya Wakristo kimetokea ambapo kwenye Video watu wanaonekana wapo kwenye mazishi na hatua za kuzika mwili wa marehemu ambapo Ali Kiba aliona kama anarekodiwa na watu, ambapo akaonekana kustaajabishwa na kutoa kauli ya "Nyie ni wakristo?", Akiwauliza vijana ambao ndio walikuwa wakimrekodi Ali Kiba hapo msibani.

Kutumia neno "Nyie ni wakristo", ni Disrespect na ni kitendo cha kumaanisha kuwa Dini ya wakristo ndio ya wafanya uovu, au ya watu wasiofaa, au ya watu wa ovyo. Kwamba Wakristo sio watu wa kuheshimu Mazishi. Cha kushangaza Tanzania ni nchi yenye Dini nyingi wakiwemo wapagani, lakini kitendo cha yeye kusema moja kwa moja kuwa nyie ni wakristo bila ya kujua hao watu anaowauliza ni Dini gani ni kutokuheshimu Dini ya kikristo. Kwa sababu Tukio hilo lingeweza kufanywa na mtu yeyote hata ambaye ni Muislamu ambaye ni wa Dini yake, budha au mpagani.

Kauli hii ya Ali Kiba pia imezua hoja mitandaoni kupelekea watu kuchukizwa na Kauli hii, na moja ya account ambayo nimeona watu wamechukua ni kwenye Instagram page ya Bongotrending Habari.

Hakuna sehemu yoyote kwenye Dini ya wakristo wanaposema tuwarekodi watu kwenye mazishi au wakiwa msibani. Hivyo hata ikitokea mkristo anarekodi mazishi, basi hiyo ni hulka yake binafsi na haina uhusiano wowote na Dini ya kikristo.

Ali Kiba anapaswa kuomba Radhi au Wakristo tuanze kuzisusia nyimbo zake kama jinsi wasanii wa Marekani na nchi nyingine wanavyofanyiwa wakizingua. Mimi staki kumuona tena, nimefuta hata nyimbo zake.

Huyu anayechukua video nae mkristo? Huyu dogo ndo anabak pale pale,kwasababu ana dharau sana
 
Attachments

  • nivurugenikuvuruge_1693718811766.mp4
    11.2 MB
Jibu swali basi ..Rose Muhando sio mkristo?
unataka nijibu ni mkisto kwa mtazamo wako? Kwa taarifa yako huyo ni mkristo vuguvugu tu ndio maana unamuona hivyo. Biblia haitambui wakristo vuguvugu. Vipi we na uislam wako unadhani unamzidi nini ikiwa nawe hujui unachokiamini na kukiabudu?
 
Awe vuguvugu awe joto, ila ndo huyo anauwakilisha ukristo.. maana anaimbia kanisani na kwenye mikutano na mahubiri ya kikristo.

Kwenye uislam mtu hawezi kufanya hivo akaachwa
 
Hapa tukubali tu tunazingua na Maadili yetu yako chini ukilinganisha na Wenzetu, Mnajitetea sana na Mnajua kabisa Mnavyomsnitch Yesu as if hawaoni💔
Wenzetu wana Madhaifu yao mengi tu ila ni Watii wa taratibu za Imani yao angalau.
 
"Sisi /mimi m/watoto wa kiislamu" wanahaka pia kamsemo kao
 
Back
Top Bottom