Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

Awe vuguvugu awe joto, ila ndo huyo anauwakilisha ukristo.. maana anaimbia kanisani na kwenye mikutano na mahubiri ya kikristo.

Kwenye uislam mtu hawezi kufanya hivo akaachwa
ukristo huujui, ungeujua usingeshangaa ukristo wa akina rose muhando
 
Duh! Yuniki umetokwa na povu jingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…