Alafu unaweza ukakuta amekuzidi kwenye kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]Elimu aliyopata shule ilimsaidia kutooa mapema, mbali na hilo hakuna chochote.
[emoji706][emoji706][emoji706] utofauti wakipuuzi bhna. Kwan Nan Alie fanya jitihada za kufika mbele aka achwa kusapotiwa?? Yeye kabase Tanzania tuAlafu unaweza ukakuta amekuzidi kwenye kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mlilonalo ni kutaka aishi maisha ambayo sio yake. Huo utofauti alionao ndio ualikiba wenyewe. Tujifunze kuwatofautisha watu
Hakuna namna maana wanachafua sana mijadala yani hawawezi kuchangia kwa lugha zenye staha .Aiseeee n Kijiji kizima[emoji15]
you cant handle as well as English writing dudeAm from Dubai, I donn't understand swahili...
Alikiba biashara ya music bado
you cant handle as well as English writing dude
unapata wapi ujasiri wa kumfananisha kiumbe aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na kiazi ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ahsante kwa kumuambia. Yaan n kiaz kwel huyo
Migorofa anayomiliki ulimpa wewe...wakati hao mnaowasifia wamepanga..chuki nyingine aarrghhAm from Dubai, I donn't understand swahili...
Alikiba biashara ya music bado