Alikiba wa unforgettable tour

Alikiba wa unforgettable tour

wasanii wanaolewa sifa ningum sana kujua nini wanahitaji kufanya...
yaan huyu jamaa angejua nini afanye angekua mbali mno kuliko hata mondi bt yeye daily anapambania kua msanii mkubwa wa local level tu na si international....
nadhani hata uongozi wake haufocus mbele zaidi yakumsikiliza boss kasema nini
 
yuzazifu, Yeah hata mm naona. Huyu n mkubwa locally ila international hayupo kwenye Raman kabisaa. Labda hataki
 
Alafu unaweza ukakuta amekuzidi kwenye kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo mlilonalo ni kutaka aishi maisha ambayo sio yake. Huo utofauti alionao ndio ualikiba wenyewe. Tujifunze kuwatofautisha watu
[emoji706][emoji706][emoji706] utofauti wakipuuzi bhna. Kwan Nan Alie fanya jitihada za kufika mbele aka achwa kusapotiwa?? Yeye kabase Tanzania tu
 
Haya ndo mapokez yake
Screenshot_20191127-171435.jpeg
Screenshot_20191127-171429.jpeg
Screenshot_20191127-171419.jpeg
Screenshot_20191127-150245~2.jpeg
 
Back
Top Bottom