Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
At last nimeelewa gap knowledge ilipo.Very funny indeed!!!!
Kwahiyo ya kwako ya kuamini ambacho hakijathibitishwa ndo great mind yenyewe?!
Mungu tuokoe waja wako!!!
What did you just say?! Kumbe Gwajima hakuahidi? Hebu jisome tena ulichokiandika hapo kabla:Kama hakuahidi wewe hilo suala la kwamba Gwajima alisema "...hatasema tena!" umelitoa wapi?! Jambo ambalo hakuahidi kwanini aseme "asingesema tena?"
Hivu unafahamu maelezo yako yana hadhi ya kuongeza uhai ikiwa ni kweli kucheka kunaongeza uhai? Kupata hivi vichekesho natakiwa kutuma neno gani na kwenda kwenye namba ipi?!
Halafu ngoja, hapa chini umesemaje?
Hivi unafahamu kwamba hapo kabla ulisema:
Oh! Kwahiyo hapa napo ukaanza kumheshimu kupitia sifa mzuri unazozisikia bila kujiridhisha mwenyewe ikiwa hizo sifa ni za kweli au hapana?! Btw, mtu ambae huna interest nae inakuaje tena unakaa chini kusikiliza ukisimuliwa "sifa zake mzuri?"
No wonder unaweza kuamini habari za u-Freemason kwa mtu kusema tu "nitatoa ushahidi kwamba Diamond ni Freemason" na wala hasitoe lakini unaamini tayari ni Freeman!!!
Hebu ngoja!!! Hivi tafsiri ya Kiswahili ya Truths ni ipi hasa?!
Kama unaamini amevuliwa, nakuomba tafadhali, tena sana sana! Nakuomba unijibu post yangu [HASHTAG]#165[/HASHTAG] or else, hicho nacho ni kichekesho ambacho ningependa kufahamu natakiwa kutuma neno gani kwenda namba ipi ili nipate vichkesho na vituko vingine zaidi!!!!
Eti?! To be honest, kusahau uliyoandika more than 24 hours earlier inaweza kuvumilika lakini unaposahau kitu ulichosoma muda huo huo; kwa hakika panahitajika upako kuweza kuvumilia!!
Hiki ndicho niliandika kuhusu Gwajima:
Hakuna niliposema Gwajima amedanganya bali nimekuuliza maswali kuhusu Gwajima na hiyo video! Kinyume chake, umeshindwa kujibu swali lolote miongoni mwa yote niliyokuuliza! Hata hivyo, sishangai kutojibu lolote manake nilishafahamu kabla kwamba usingekuwa na ubavu wa kujibu na ndio maana hoja hiyo nili-conclude kwa kusema: And finally, nilichosema kikadhihiri manake umeshindwa kujibu na badala yake umeweka jibu la uongo kwamba nimesema Gwajima amedanganya!!!
Jombaa, hapa hatutoi maksi kwahiyo huna sababu ya kubahatisha jibu ili nisipokuwa makini nikupe alama ya pata!!!! Nondo ikigoma, potezea kama ulivyopotezea issue ya Vevo & Youtube!!Dalili kwamba maneno yako chanzo chake ni wewe mwenyewe ni hii hapa chini:Kumbe Gwajima wala hakuahidi lakini unakuja hapa na kusema:
Mtu hajaahidi kwamba angesema, sasa wewe umetoa wapi madai ya kwamba alisema "asingesema tena!" How come useme "asingesema tena" wakati hakuahidi kusema?
Mimi unataka nikuwekee chanzo cha hoja ipi?! Au u
Usiwe unaongea maneno yako ndugu!!!!
Is this a genius way of admitting your arguments are baseless?! You don't rest your case Sir, bali ni kwamba HUNA HOJA!
Nimejaribu kutafuta a more friendly word(s) to replace maneno HUNA HOJA but I failed. Kama una friendly phrase kwa hayo maneno, then recite them wakati unasoma maneno HUNA HOJA so that you don't feel so embarrassing or even harassed!
Labda nifafanue upya kwa Ku paraphrase.
Chukua hii ya mwisho Kama ilivyo,
Gwaj alisema ataongea jumapili, na almasi itegeuka Maji.
Kabla ya jumapili kufika.
Dai aka omba radhi fastafasta.
Jumapili imefika, gwaji akiwa anazo taharifa za Dai kumuomba msamaha.
Akasema nimemsamehe dai, kwasababu Ame apologize. Sitasema tena ni kwa jinsi gani alijiunga Freemasonry, na kutoa ushahidi.(note:-Gwaji alitamka hivi wakati, hapo kabla hakua amehaidi kwamba anaenda kupeleka ushahidi).
Kama ingekua Gwaji alisema Kabla, kua anaenda kutoa ushahidi namna Dai alivyojiunga na Masonry. Basi Apologize ya Dai ingekua haina maana wala Uzito na Dai angekua na wakati mgumu sana kuomba radhi.
Na hata Mimi ningekua na maoni tofauti kuhusu Gwajima kama angesitisha.
Dai akawajibu mashabiki kua wamwambie aseme.
Naye gwaji hakua amelumbana tena.
Ikaisha hivyo.
Sasa hapo kabla aliahidi kuyeyusha almasi iwe maji. Lakini siku ilipofika ndio akasema kile ambacho alipanga kukifanya, ila ameahirisha kwasababu dai mwenyewe Ame apologize.
Hope utapata picha sasa.
Kwahiyo sisi wengine tulijiongeza kua kumbe dai ni mjenzi huru.
Ila gwaji alimstahi.
Hope hapa utapata picha ninayoisema.
Sadly unaonyesha chuki ya wazi kwa Shigongo MTU mzima aliekuzidi Umri, elimu na kipato na fame.
Na unajaribu kumu undermine Gwaj Kama vile unayo elimu kumzidi .
kwa taaarifa yako Gwaji ni Guru. Ana wafuasi wengi duniani kote.
Na ni msomi WA doctorate. Ameandika kitabu.
Kumbuka hakuna elimu ya uprofesa.
Kama angekua mbabaishaji asingetoboa mpaka kufikia hapo alipo.
Anaweza kua na mapungufu yake Kama binadamu lakini, kamwe hujaweza kuvaa viatu vyake.