AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Very funny indeed!!!!

Kwahiyo ya kwako ya kuamini ambacho hakijathibitishwa ndo great mind yenyewe?!

Mungu tuokoe waja wako!!!

What did you just say?! Kumbe Gwajima hakuahidi? Hebu jisome tena ulichokiandika hapo kabla:Kama hakuahidi wewe hilo suala la kwamba Gwajima alisema "...hatasema tena!" umelitoa wapi?! Jambo ambalo hakuahidi kwanini aseme "asingesema tena?"

Hivu unafahamu maelezo yako yana hadhi ya kuongeza uhai ikiwa ni kweli kucheka kunaongeza uhai? Kupata hivi vichekesho natakiwa kutuma neno gani na kwenda kwenye namba ipi?!

Halafu ngoja, hapa chini umesemaje?

Hivi unafahamu kwamba hapo kabla ulisema:
Oh! Kwahiyo hapa napo ukaanza kumheshimu kupitia sifa mzuri unazozisikia bila kujiridhisha mwenyewe ikiwa hizo sifa ni za kweli au hapana?! Btw, mtu ambae huna interest nae inakuaje tena unakaa chini kusikiliza ukisimuliwa "sifa zake mzuri?"

No wonder unaweza kuamini habari za u-Freemason kwa mtu kusema tu "nitatoa ushahidi kwamba Diamond ni Freemason" na wala hasitoe lakini unaamini tayari ni Freeman!!!

Hebu ngoja!!! Hivi tafsiri ya Kiswahili ya Truths ni ipi hasa?!
Kama unaamini amevuliwa, nakuomba tafadhali, tena sana sana! Nakuomba unijibu post yangu [HASHTAG]#165[/HASHTAG] or else, hicho nacho ni kichekesho ambacho ningependa kufahamu natakiwa kutuma neno gani kwenda namba ipi ili nipate vichkesho na vituko vingine zaidi!!!!
Eti?! To be honest, kusahau uliyoandika more than 24 hours earlier inaweza kuvumilika lakini unaposahau kitu ulichosoma muda huo huo; kwa hakika panahitajika upako kuweza kuvumilia!!

Hiki ndicho niliandika kuhusu Gwajima:
Hakuna niliposema Gwajima amedanganya bali nimekuuliza maswali kuhusu Gwajima na hiyo video! Kinyume chake, umeshindwa kujibu swali lolote miongoni mwa yote niliyokuuliza! Hata hivyo, sishangai kutojibu lolote manake nilishafahamu kabla kwamba usingekuwa na ubavu wa kujibu na ndio maana hoja hiyo nili-conclude kwa kusema: And finally, nilichosema kikadhihiri manake umeshindwa kujibu na badala yake umeweka jibu la uongo kwamba nimesema Gwajima amedanganya!!!

Jombaa, hapa hatutoi maksi kwahiyo huna sababu ya kubahatisha jibu ili nisipokuwa makini nikupe alama ya pata!!!! Nondo ikigoma, potezea kama ulivyopotezea issue ya Vevo & Youtube!!Dalili kwamba maneno yako chanzo chake ni wewe mwenyewe ni hii hapa chini:Kumbe Gwajima wala hakuahidi lakini unakuja hapa na kusema:
Mtu hajaahidi kwamba angesema, sasa wewe umetoa wapi madai ya kwamba alisema "asingesema tena!" How come useme "asingesema tena" wakati hakuahidi kusema?

Mimi unataka nikuwekee chanzo cha hoja ipi?! Au u

Usiwe unaongea maneno yako ndugu!!!!
Is this a genius way of admitting your arguments are baseless?! You don't rest your case Sir, bali ni kwamba HUNA HOJA!

Nimejaribu kutafuta a more friendly word(s) to replace maneno HUNA HOJA but I failed. Kama una friendly phrase kwa hayo maneno, then recite them wakati unasoma maneno HUNA HOJA so that you don't feel so embarrassing or even harassed!
At last nimeelewa gap knowledge ilipo.

Labda nifafanue upya kwa Ku paraphrase.

Chukua hii ya mwisho Kama ilivyo,
Gwaj alisema ataongea jumapili, na almasi itegeuka Maji.

Kabla ya jumapili kufika.
Dai aka omba radhi fastafasta.

Jumapili imefika, gwaji akiwa anazo taharifa za Dai kumuomba msamaha.
Akasema nimemsamehe dai, kwasababu Ame apologize. Sitasema tena ni kwa jinsi gani alijiunga Freemasonry, na kutoa ushahidi.(note:-Gwaji alitamka hivi wakati, hapo kabla hakua amehaidi kwamba anaenda kupeleka ushahidi).

Kama ingekua Gwaji alisema Kabla, kua anaenda kutoa ushahidi namna Dai alivyojiunga na Masonry. Basi Apologize ya Dai ingekua haina maana wala Uzito na Dai angekua na wakati mgumu sana kuomba radhi.

Na hata Mimi ningekua na maoni tofauti kuhusu Gwajima kama angesitisha.

Dai akawajibu mashabiki kua wamwambie aseme.

Naye gwaji hakua amelumbana tena.
Ikaisha hivyo.

Sasa hapo kabla aliahidi kuyeyusha almasi iwe maji. Lakini siku ilipofika ndio akasema kile ambacho alipanga kukifanya, ila ameahirisha kwasababu dai mwenyewe Ame apologize.

Hope utapata picha sasa.

Kwahiyo sisi wengine tulijiongeza kua kumbe dai ni mjenzi huru.
Ila gwaji alimstahi.

Hope hapa utapata picha ninayoisema.

Sadly unaonyesha chuki ya wazi kwa Shigongo MTU mzima aliekuzidi Umri, elimu na kipato na fame.
Na unajaribu kumu undermine Gwaj Kama vile unayo elimu kumzidi .
kwa taaarifa yako Gwaji ni Guru. Ana wafuasi wengi duniani kote.
Na ni msomi WA doctorate. Ameandika kitabu.
Kumbuka hakuna elimu ya uprofesa.
Kama angekua mbabaishaji asingetoboa mpaka kufikia hapo alipo.
Anaweza kua na mapungufu yake Kama binadamu lakini, kamwe hujaweza kuvaa viatu vyake.
 
Mkuu wabongo wanapenda shikiwa akili na wakishamiamini mtu kila atakachosema basi.
Walianza kwa kuamini gazeti za shigongo sasa naona zama zimepita wanamuamin mange kwa kila kitu hata masuala asiyokuwa na idea nayo kama hayo.
Yeye ndiye alianza compare viewers wa kiba na mond huyo huyo leo ndiye anaanza dai huwezi compare youtube na vevo japokuwa sijui naye hajui kuwa kiba viewers wengi walitoka vevo youtube channel.,,
Akili za wengi ni nukta, hajui anachokiongea
 
Duh! Halafu eti ndo unajiita Truths wewe!!! Nimekutandika maswali kuhusu Vevo umeshindwa kujibu hata moja kwa sababu, huwa hujui unachoongea bali unaongea vya kusikia!!!

Kwahiyo msingi wa kuamini kwako kwamba Diamond ni Freemason ni kwa sababu Gwajima alisema!!! Eti Gwajima ana video kuthibitisha kwamba Diamond ni Freemason!! Tell me something Mr. Truths!! Huyo Gwajima ana video za Freemasons wote au ya Diamond peke yake?!

Also, Freemason wanaendesha mambo yao in closed doors! Huyo Gwajima alipata vipi hiyo video?! Au na yeye ni mmoja wao?! Oh! Utasema alipewa! Huyo ambae alitengeneza hiyo video ni kwa madhumuni gani? Freemasons ipo kisheria! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kutengeneza video ya "kufichua" siku alipojiunga as if kujiunga na Freemason ni kwenda kinyume na sheria?

I know, nimekuonea kwa maswali ambayo katu hutakaa ukaweza kuyajibu!!!! Ni kama ulivyoshindwa kuyajibu maswali kuhusu Vevo!!!

And what did you just say?! Source yako nyingine ni magazeti ya Shigongo! Kwamba, hata magazeti ya Shigongo yaliandika jamaa ni Freemasons! Serious?!
Anafikiria kufichua kitu cha ndani kuhusu Masonic ni mchezo hadi aweze kupata video, hivi anajua kilichompata Bob Marley kwa kufichua? Gwajima asingekuwa hai kama angekuwa na ushahidi huo
 
mond hajakimbia vevo, kumbuka yy ndo aliwah kuwapa somo wasanii wa tz jins ya kunufaika na vevo(km hufatilii mziki hutojua hili) na ni mond ndo anaongoza kuwa na wimbo wenye views nying kuliko msanii yyte EA, marry you ina 16m. Ila mfanya biashara yyte ukiona ki2 hakina maslah cdhan km utajishughulisha nacho, youtube channel yake ina subscibers laki 7+ unahitaj aendelee kung"ang"ania kupandish video vevo?? inahtaj akili ndogo sana kulielewa hili. Watanzania(hasa mashabk wa Ally kiba) huwa wana maneno kuliko kusapot kaz, seduce me iliiacha mbal sana zilipendwa ila kaangalie ss hiv hizo kaz halaf uone ipi ina views kibao. wcb fans wanakimbiza mwiz kimya kimya
Acha uongo wako Kijana japo umekula ban wacha tukufundishe , Msanii Wa kwanza Tanzania kuingia Vevo ni Gosy B , na sijui kama unamjua
 
Acha uongo wako Kijana japo umekula ban wacha tukufundishe , Msanii Wa kwanza Tanzania kuingia Vevo ni Gosy B , na sijui kama unamjua
Mkuu mbona uliye mquote hakuna sehemu aliposema mond ndo wa kwanza kujiunga vevo?
Gosby yuko wapi siku hizi maana nakumba 2010 hivi mpaka 2012 alikuwa akitoa mangoma kama ya mbele.
 
Tanzania hakuna access ya vevo account thus why hata hiyo nyimbo ya sedume me inatazamwa kupitia youtube,hivyo vevo ipo ndani ya youtube
 
Kwahiyo kama kuna Neyo ndo Views hawawezi kununuliwa?! Nyie jamaa mna viroja!!!

Kwamba eti wamekuja kuwaangalia Morgan Heritage ni kiroja cha mashabiki wa Kiba kinachotokana na kutofahamu muziki wala kuchambua mambo kwa kutumia akili za kawaida!!

Ngoma ya Hallelujah imebamba kupitia social networks kwa maana, wanaotumia social networks ndio wa kwanza kufahamu. Aidha, wakati Diamond Platnumz ana Followers 4Million (Plus), Morgan Heritage wana followers chini ya laki na nusu!!!

Kwahiyo unaaamini kabisa hao views wanatoka kwa Morgan Heritage wenye followers wasiofika hata laki 2?! Wamepata wapi taarifa za kwamba Morgan Heritage ameshirikishwa ngoma?

Angalia posts za nyuma za Morgan Heritage! Comments hazifiki hata 50 lakini zilizohusu ngoma ya Diamond ndio zenye comments nying

But even more important, mwaka jana Morgan Heritage walichukua Grammy Awards kupitia Reggae na ngoma yao ambayo ilibeba album ni Wanna Be Loved!

Hiyo ngoma hata Views laki moja haijafika!!!!

Subscribers hawajafika hata elfu 10!!!

Moja ya ngoma zao zingine zilizofanya vizuri ni Selah lakini na yenyewe hata views 1M haijafika!!

Reggae Night ni 2017 hit na hadi sasa ina views chini ya laki moka ingawaje ni ya tangu January!

Perfect Love Song ya mwaka 2013 nadhani ndiyo yenye Views wengi zaidi lakini na yenyewe hata Views 3Million haijafika!

Sasa hao mashabiki wa Morgan Heritage waliojaza Views kwenye Hallelujah how come washobokee ngoma walizoshirikishwa badala ya ngoma walizofanya wenyewe?!

Tumieni common sense kujenga hoja manake kinyume chake mnaonekana viroja!!!

Mmmmh basi baba utawauwaaaa..! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ahaa kumbe domo level zake za Collabo na Underground eeeh?
 
Anafikiria kufichua kitu cha ndani kuhusu Masonic ni mchezo hadi aweze kupata video, hivi anajua kilichompata Bob Marley kwa kufichua? Gwajima asingekuwa hai kama angekuwa na ushahidi huo
Mkuu hawa devil worshiperzz wanaaibika kila siku. Ni kwamba hata hapo kufahamika tu ni aibu tosha. Wao hawako radhi hata kujulikana.
Siri gani ya maana waliyonayo zaidi ya ocult worshiping and witchcraft practicing?

Ni kwamba ukweli uko hadharani wanachofanya ni containment tu.
Sasa wakitulia muda ukienda unadhani hawajaumbuka. Kumbe wanakufa nayo kimoyomoyo.
 
Mange anawaharibu akili.

Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!

Enjoy good music....
So you agree kwamba YouTube inaweza kujijazia mafamba as compared to Vevo... right?

In fact you have just concurred with mleta thread
 
Mkuu hawa devil worshiperzz wanaaibika kila siku. Ni kwamba hata hapo kufahamika tu ni aibu tosha. Wao hawako radhi hata kujulikana.
Siri gani ya maana waliyonayo zaidi ya ocult worshiping and witchcraft practicing?

Ni kwamba ukweli uko hadharani wanachofanya ni containment tu.
Sasa wakitulia muda ukienda unadhani hawajaumbuka. Kumbe wanakufa nayo kimoyomoyo.
Ndugu hata hayo unayoyasoma online si siri zao, zingekuwa siri zisingeanikwa. Hakuna media inayojua ukweli wote kuhusu hao watu, usidanganyike
 
So you agree kwamba YouTube inaweza kujijazia mafamba as compared to Vevo... right?

In fact you have just concurred with mleta thread
Lemme tell you something cuz' majority wanashindwa kutofautisha kati ya Vevo Account na Vevo Account zilizopo Youtube!!!

Hizi zinazosemwa ni Vevo Account sio Vevo Account bali ni Youtube Accounts zilizopo kwenye Vevo Youtube Channel. Vevo wana-channel yao Youtube as many business entities as well as watu wa kawaida. Kwahiyo hizi akaunti za akina Kiba ambazo can be accessed from anywhere zipo kwenye hii Youtube Channel ya Vevo.

Sio kwamba hawana Vevo Account lakini access ya Vevo is very limited kwa sababu nchi nyingi including Tanzania huwezi ku-access Vevo. And I can bet, 99.9% ya Views wanazosema za Vevo zinatoka Youtube na sio Vevo! Hata ukiingia Kiba Vevo Account (not youtube Channel), ngoma kama Seduce Me ina less than 100 Likes wakati iliyopo Youtube ina Likes zaidi ya 10K.

WHY? The track is more accessed from Youtube and not Vevo ambayo ina geographical restrictions.

But on top of that, hata hizo Views tunazosema account zipo Vevo, huwa haziwi monitored na Vevo bali na Youtube! So, kama account ya kawaida ya Youtube unaweza kununua Views basi hata Vevo Youtube Channel unaweza kununua Views na ndio maana, Lady Gaga alipata kashifa ya Views. Account ya Lady Gaga ipo Vevo Youtube Channel Account! Hata hivyo, issue ilikuwa handled na Youtube na sio Vevo kwa sababu, the so called Vevo Accounts are Youtube Accounts!!!!
 
Back
Top Bottom