AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Ina maana wewe una akili sana zaidi ya Sony Music Entertainment na Rockstar waliompa endorsement Alikiba?

Au wewe ni una weledi zaidi ya waandaaji wa Music wanaompeleka Alikiba America na Ulaya kwenye Shows?
Acha ubazazi.
paniq [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Viewer moja inauzwa bei gani ?
 
Vyovyote cile ula haki yake ya hardworking mpe!!
Sasa kama ni hivyo usiseme Domo tajiri kuliko Alikiba coz kama ni nyumba hata huyo Kiba anazo, kama ni magari hata Alikiba anayo. Tofauti ni kwamba mmoja anapenda masifa kutangaza, na mwingine hajitangazi
 
Umri wa akili au umri wa kuzaliwa? Fafanua aisee.
Umri wa wao kuanza kuimba.. Maana ninaamini Mond alipaswa kuwa anavunja record za kiba then anajisifu nimempita bro.... Lakini cha kushangaza bro anafurahi kumpita dogo [emoji102]
 
Sasa kama ni hivyo usiseme Domo tajiri kuliko Alikiba coz kama ni nyumba hata huyo Kiba anazo, kama ni magari hata Alikiba anayo. Tofauti ni kwamba mmoja anapenda masifa kutangaza, na mwingine hajitangazi
Kile kijumba cha tabata ambacho ata yeye anaogopa kukionyesha

Usimlinganishe domo na mambo za kipuzi kiba kazidiwa kila idara.....mwenzie ana endorsements za kutosha ana recording lebelanamiliki wasanii wake.
 
We jamaa ndo unaonekana hujui lolote kuhusu Vevo na Youtube!! Yaani kwako wewe Vevo ndo hospitali ya Rufaa na Youtube ni Zahanati?

Btw, hivi kabisa unaamini kwamba unaweza kununua views Youtube ukabaki salama?! Hivi unafahamu Youtube ni ya Google na wana mifumo nyoko ya ku-track suspicious activities kwenye youtube accounts pamoja na blogs zinazotumia Google Adsense?!

Wewe nadhani ni wale wanaoamini kila kinachosemwa na Mange ambae kutokana na umbumbu wake anawaambia watu wamripoti Diamond Youtube eti kwamba ananunua views.

Kwa mtu anayeelewa pale ndo amemuona ni ju'ha asiyefahamu chochote kuhusu Youtube cuz' Youtube au Google hawana sababu ya kusubiri mtu atoe taaarifa kwao wakati tayari wana mfumo unaofanya hiyo kazi.

Views 2M kwa siku moja hapo bots za Google zimeshatembelea sana ile video na kama kungekuwa na fake views hivi sasa account ama ingekuwa ishakuwa blocked au ku-fyekwa fake views wote!!!

Halafu haya mambo ya eti VEVO na Youtube mnajitia aibu manake mnaonekana hamfahamu chochote kuhusu hiyo VEVO !!

Tanzania huweziku-access Vevo unless kama unatumia VPN! The so called Vevo account are just mirror account iliyopo Youtube na ndio maana hata mtu wa Nanjilinji anaweza ku-access.

Vile vile nawe unaonekana hujui lolote kuhusu Youtube ndo maana umefikia kusema msanii analipwa kutokana na views anaopata! Huo ni uongo mtupu na ndio maana umefikia kuamini hayo mengine!!!

Sababu kubwa ya kuasisi Vevo wala haina uhusiano na Views au kununua bali UMG & Sony walianzisha VEVO kwa ajili ya wasanii wao kwa kile kilichoonekana issue za hatimiliki kwa Youtube ni kimeo!!

But all in all, Diamond alitumia Vevo Account mara moja na hapa chini ndo stats za hiyo account!


Kama unavyoona, Marry Me ina Views 16.5M lakini muhimu zaidi, ingawaje hiyo akaunti kaitumia mara moja tu lakini ina Subscribers 77K.

Kinyume chake, Kiba ametumia Vevo mara mbili lakini ndo kwanza ana subscribers 75K

Sasa kama unaamini Kiba anaburuzwa kwa sababu yeye anatumia Vevo na Diamond anatumia Youtube basi unatakiwa kutafakari upya jinsi unavyoyaelewa haya mambo!!!!

FYI, pasipo na Youtube VEVO is nothing na ingekimbiwa na watu at least for now! Ingekimbiwa kwa sababu sehemu nyingi Vevo haipatikani na ndio maana wanatumia mirror account through Youtube channel!
 
Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
We jamaa una viroja! Yaani iwe kama hivyo unavyoamini halafu bado duniani Google apewe matangazo ya biashara wakati wanafahamu watakaokuwa wana-view hayo matangazo ni bot apps?!

Acha kulishwa sumu kijana!!!
 
Basi Mange ndio kashasema hivyo..
Hawaambiliki, hawaelewi!
 
marry you IPO vevo ina 16M ila Kimba ana video mbili ukijumlisha hafkii 10M
We pimbi uwe unajiongeza basi sio unaropoka tu, hiyo 16 m watu walikuwa wanamuangalia neyo ndio maana zimefika hivyo,hata huu hallelujah watu wanaingia kuangalia Morgan heritage wameimba nini ndio maana view's mbali mbali duniani wanaingia kuangalia wameimba nini magwiji hao duniani, ni wimbo wakawaida sana sio mzuri kuliko hata eneka na zilipendwa,zaidi video ndio nzuri nyimbo ime score 40%.
 
KIBA SI KAWEKA RECORD SIO CHINI YA MBILI 1. KUWA NA VIEWERS WENGI NDANI YA MUDA MFUPI, PILI VIDEO YA AFRIKA MASHARIKI ILIYOPATA VIEWERS WENGI MSANII AKIWA PEKE YAKE(SOLO). MAMBO MENGINE NI KAMA IFUATAVYO KATIKA UWEKEZAJI KAMA TUNAPEWA VITABU VYAO NADHANI ALI KIBA ANA INVEST KIDOGO ANAVUNA KIKUBWA. DIAMOND ANA INVEST NYINGI ANAVUNA NYINGI LAKINI KASI NI NDOGO. SIDHANI KAMA GHARAMA ZA VIDEO FIRE, ENEKA,HISTORY ZIMESHARUDI NA SASA HALELUJAH. THATS WHY UNAMWONA SANA DIAMOND KATIKA MEDIA KULIKO ALI CUZ WANATOFAUTIANA NAMNA YA UWEKEZAJI,
 

Yaani mtu mzima kabisa unashikwa akili na Mange na unashindwa kufikiria kabisa, Seduce me imetoka na matangazo na promotion kila kona na ikawa na trend kubwa sana, kisha kukawa na Zilipendwa ya WBC ambayo haikuwa na promotion yoyote na ikawa inapanda yenyewe polepole, swali la kujiuliza kwa nini Diamond hakununua viewer ili haishinde Seduce me?, yaani uwezo wa kununua viewer anao lakini akakubali seduce me iwe na viewer wengi, leo katoa Hallelujah ambayo haina mpinzani sokoni ndio ananunua viewer?

Mange ana wivu wake Binafsi na chuki kali sana kwa diamond, so usiingie kwenye mkumbo kwa vitu vya kijinga
 
Mtaongea kila aina ya maneno lakin ukwl utbaki kuwa palepale jamaa yenu anaburutwa......kuanzia viewz, subs, shows, endorsements, lebels, na vitu zngne.......kilichobaki ni ubishi tu na kujipa matumaini pasipo na kwl.
 
Unafikiri watakuelewa basi.....wameng'ang'ania vevo, vevo, huku wakisahau kuwa vevo ipo ndani ya YouTube yaani bila YouTube huwezi ku access vevo. Na mond atakuja awafunge midomo siku akiachia ngoma yake mwenyewe as solo artist na kuvunja rekodi yake aliyoiweka kwny hallelujah.
 
Tuachane na viewz vipi kuhusu subscribers.....maana na zenyewe kapitwa japo mond hayupo active sana na vevo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…