We jamaa ndo unaonekana hujui lolote kuhusu Vevo na Youtube!! Yaani kwako wewe Vevo ndo hospitali ya Rufaa na Youtube ni Zahanati?
Btw, hivi kabisa unaamini kwamba unaweza kununua views Youtube ukabaki salama?! Hivi unafahamu Youtube ni ya Google na wana mifumo nyoko ya ku-track suspicious activities kwenye youtube accounts pamoja na blogs zinazotumia Google Adsense?!
Wewe nadhani ni wale wanaoamini kila kinachosemwa na Mange ambae kutokana na umbumbu wake anawaambia watu wamripoti Diamond Youtube eti kwamba ananunua views.
Kwa mtu anayeelewa pale ndo amemuona ni ju'ha asiyefahamu chochote kuhusu Youtube cuz' Youtube au Google hawana sababu ya kusubiri mtu atoe taaarifa kwao wakati tayari wana mfumo unaofanya hiyo kazi.
Views 2M kwa siku moja hapo bots za Google zimeshatembelea sana ile video na kama kungekuwa na fake views hivi sasa account ama ingekuwa ishakuwa blocked au ku-fyekwa fake views wote!!!
Halafu haya mambo ya eti VEVO na Youtube mnajitia aibu manake mnaonekana hamfahamu chochote kuhusu hiyo VEVO !!
Tanzania huweziku-access Vevo unless kama unatumia VPN! The so called Vevo account are just mirror account iliyopo Youtube na ndio maana hata mtu wa Nanjilinji anaweza ku-access.
Vile vile nawe unaonekana hujui lolote kuhusu Youtube ndo maana umefikia kusema msanii analipwa kutokana na views anaopata! Huo ni uongo mtupu na ndio maana umefikia kuamini hayo mengine!!!
Sababu kubwa ya kuasisi Vevo wala haina uhusiano na Views au kununua bali UMG & Sony walianzisha VEVO kwa ajili ya wasanii wao kwa kile kilichoonekana issue za hatimiliki kwa Youtube ni kimeo!!
But all in all, Diamond alitumia Vevo Account mara moja na hapa chini ndo stats za hiyo account!
View attachment 599452
Kama unavyoona, Marry Me ina Views 16.5M lakini muhimu zaidi, ingawaje hiyo akaunti kaitumia mara moja tu lakini ina Subscribers 77K.
Kinyume chake, Kiba ametumia Vevo mara mbili lakini ndo kwanza ana subscribers 75K
View attachment 599458
Sasa kama unaamini Kiba anaburuzwa kwa sababu yeye anatumia Vevo na Diamond anatumia Youtube basi unatakiwa kutafakari upya jinsi unavyoyaelewa haya mambo!!!!
FYI, pasipo na Youtube VEVO is nothing na ingekimbiwa na watu at least for now! Ingekimbiwa kwa sababu sehemu nyingi Vevo haipatikani na ndio maana wanatumia mirror account through Youtube channel!