You know nothing dogo[emoji23]!mpaka aibu yaaniNinyi ni team Kiba au team Domo?
Vipi matibabu kule hospitali teule Dodoma mmeshatoka?
Vipi wewe ni Kibabu nini?You know nothing dogo[emoji23]!mpaka aibu yaani
Cra'p!!Ninyi ni team Kiba au team Domo?
Vipi matibabu kule hospitali teule Dodoma mmeshatoka?
Offer yangu ya ajira bado ipo ni PM mkiwa tayari
Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hospitali ya Rufaa.
VEVO ni wafanya biashara kama wafanyabiashara wengine na kila mtu ana option ya kuchagua ni wapi panafaa kwa biashara yake...Sio kisa wewe unapenda kitu flani basi ni lazima na mwingine apende hicho hicho.
Youtube kuna channel nyingi sana....jaribu kuwa mdadisi na sio kufata mkumbo..Ali Kiba ana mziki wake na Dai pia furahieni muziki acheni ligi ambazo haziwalipi chochote
Na umeambiwa hapo juu Marry You ipo VEVO na in a viewers wa kutosha tu sasa sijui mlitakaje.
Enjoy Good music.
Utajiri haupimwi kwa kuwa na nyumba za kuishi na magari ya kutembelea. Hizo ni basics za maisha. Wala mafanikio hayapimwi kuwa na kikundi cha watu au website, hizo ni lifestyle na njia za mawasiliano tu.SIKU HIZI MWALIMU ANAWEZA MFUNDISHA MWANAFUNZI KITU HALAFU KWA USAHAULIFU TU MWANAFUNZI AKAGEUKA AKAJIFANYA YEYE NDIO MWALIMU.
KAMA MTU HANA FACT BASI NI BORA AKANYAMAZA KULIKO KUONGEA MWISHO WA SIKU AKAJISHUSHIA HESHIMA MBELE ZA WATU.
THE FACT IS..@diamondplatnumz ndio msanii pekee Tanzania ambaye anaweza kuielezea vizuri zaidi @vevo kuliko msanii yote kwa sababu.
1)Hasimami kama msanii bali anasimama kama mfanyabiashara.
2)@diamondplatnumz anasimama kama baba ambaye anawatengenezea misingi watoto wake wa w.c.b ndio mana mpaka sasa wasanii wote wanalipwa na YOUTUBE.
3)@diamondplatnumz kila mkataba ambao anaukubali unauweka katika terms za ki biashara.
HIZI NI SABABU CHACHE TU.
Ila ukiwa unasimama katika misingi ya biashara hata siku moja huwezi kukubaliana na mkataba ambao utakuletea hasara.
@diamondplatnumz ndio msanii pekee toka Tanzania ambaye alianza kulipwa na @vevo lakini baada ya kuona utofauti wa malipo baina ya YOUTUBE na VEVO aliamua kubaki upande wa YOUTUBE na ikumbukwe mwanzo diamond alipotakiwa kuingia VEVO aliweka makubaliano kwamba lazima @vevo wamlipe kiwango kikubwa zaidi ya anacholipwa na @youtube ndio hapo atakubali kufuta account ya YOUTUBE.
SWALI KWA WALE WANAOZUNGUMZIA VEVO:Ina maana hizi record za @diamondplatnumz hawazioni.
Mpaka muda naandika makala hii @diamondplatnumz anasimama kama msanii pekee Africa mashariki ambaye alifanyiwa promotion ya kazi yake na platform zote za @vevo mitandaoni.
@diamondplatnumz anaendelea kusimama kama msanii ambaye ukiunganisha nyimbo za wasanii wote wa Africa mashariki walioko @vevo na nyimbo zao zote bado wimbo mmoja wa @diamondplatnumz [HASHTAG]#MARRYYOU[/HASHTAG] utazizidi ngoma zote hizo huku ikiwa ni nyimbo moja tu.
@diamondplatnumz anaendelea kusimama kama msanii mwenye mafanikio zaidi kwa sababu ya kuwa na akili ya biashara zaidi ndio mana hakutaka kuwa limbukeni wa kubakia sehemu isiyo na maslahi.
Kama mpaka sasa @diamondplatnumz ndio msanii pekee aliyelipwa zaidi na @vevo na ndio msanii ambaye nyimbo moja ina views kushinda wasanii wote wa Africa mashariki wengine basi tumuheshimu kama mwalimu anayewafundisha wasanii wengine maana ya @vevo.
KUONGEA BILA USHAHIDI YANAGEUKA KUWA MAKELELE..[HASHTAG]#THEEND[/HASHTAG].
Binafsi naweza kusema kulinganisha Vevo na YouTube, haikubaliki.Vipi aje remix aliyomshirikisha M.I au yenyewe siyo featuring.....na vipi kuhusu subscribers?
Yaani umeandika ili mradi tu uonekane umechangia iv kwa nn linapokuja swala la diamond kupata kitu fln mara nyingi mnakimbilia kusema kanunua nakumbuka kuna kipindi mond alikimbiza sana kwny swala la tuzo yakaibuka mambo kibao kuwa jamaa anahonga na ananunua tuzo, but ilipofika zamu ya kiba kuchukua tuzo hayo mambo hatukuyaona so kiba akifanikiwa kafanikiwa kwa halali ila mond akipata mafanikio kanunua....seduce me ilipotoka ilipigiwa promo na kampeni kila angle na kupelekea kupata viewz nying kwa mda mchache lkn mbona team domo hawakuja na izo hoja dhaifu za kununua.....iv domo ana hela kiasi gani kila kitu anunue ili iweje na ili amfurahishe nani.Binafsi naweza kusema kulinganisha Vevo na YouTube, haikubaliki.
Ila mazingira yanaonyesha pia kwamba YouTube ni rahisi Ku chezewa kuliko Vevo.
Diamond amekiri kutokuwepo kwake Vevo kunatokana na sababu za kimaslahi. Yaani anapata maslahi madogo kulinganisha na anayopata akiwa YouTube.
Jambo ambalo ni la msingi kwa mdau yeyote mwenye jina kubwa.
Wimbo alioimba na Neyo ni wazi kua uwepo wa Neyo kunaweza muongezea diamond Mashabiki kupokea USA.
Sasa ukitumia kigezo cha wimbo WA Featuring inakua sio ulinganifu wenye usawa.
Ni vyema utaje wimbo WA Diamond alioinba peke yake dhidi ya wimbo wa kiba.
Hapo ndio utajua nani yupo juu kirekodi.
Lakini pia, Kama haupo, tusiweke hitimisho. May be haupo at least for now. Hakuna anayejua kesho yake.
Kuhusu diamond kununua Likes.
Hii inaweza kua kweli kwasababu hata utajiri wa diamond umekua exaggurated na watu Sana.
Diamond amewahi kukiri kua wakiwa kama wasanii sometimes wanajipiga brush ili kuongeza thamani ya majina yao. Aliyasema haya alipopelekwa TRA kudaiwa kodi za mapato yake. Ambapo alikiri sio kweli kua anapesa kiasi hicho.
Maisha ya WA sanii ni dark secret.
Wanafanya haya ili waendelee kupata mashabiki na kuvutia watu.
Wewe team gani?Nilicho Gundua kwenye huu Uzi mashabiki was Diamond wanajibu hoja kwa facts kuliko wale wa kiba.
Umeshapata chakula cha mchana lakini?Yaani umeandika ili mradi tu uonekane umechangia iv kwa nn linapokuja swala la diamond kupata kitu fln mara nyingi mnakimbilia kusema kanunua nakumbuka kuna kipindi mond alikimbiza sana kwny swala la tuzo yakaibuka mambo kibao kuwa jamaa anahonga na ananunua tuzo, but ilipofika zamu ya kiba kuchukua tuzo hayo mambo hatukuyaona so kiba akifanikiwa kafanikiwa kwa halali ila mond akipata mafanikio kanunua....seduce me ilipotoka ilipigiwa promo na kampeni kila angle na kupelekea kupata viewz nying kwa mda mchache lkn mbona team domo hawakuja na izo hoja dhaifu za kununua.....iv domo ana hela kiasi gani kila kitu anunue ili iweje na ili amfurahishe nani.
Unafikiri YouTube ni wajinga kiasi gan mpk wakulipe mkwnja wa matangazo huku viewz zako za magumashi...kuna kipondi mond alipata hadi tuzo yeye na millard ayo kutoka YouTube so unataka kunambia na hapo aliwahonga wampe tuzo wazungu wenye akili zao?
Nitampata wapi ina viewz zaid ya 15M na inaizidi mwana ambayo ilitoka kabla na zote zipo youtube.
Kwa upande wa vevo kiba ndo wakwanza kujiunga kabla ya mond ila nenda kaangalie nani ana subs wengi huku mond hayupo active kule.
Jipe moyo ...why micolabo..marry you IPO vevo ina 16M ila Kimba ana video mbili ukijumlisha hafkii 10M
Aje rmx ni matako ya mama ako ama?Jipe moyo ...why micolabo..
Sibishanagi na punga....Umeshapata chakula cha mchana lakini?
Wanajibu hoja kwa sababu zinawagusa kwenye mtima.
Ukishamaliza kula mwambie Domo AJE VEVO Ila asije na Lift ya Collabo au Featuring.
Domo anapenda sana lift, alianza na Lift ya Wema SepetuJipe moyo ...why micolabo..
Nasikia ukoo wenu wote mapunga.Sibishanagi na punga....
Yaani umeandika ili mradi tu uonekane umechangia iv kwa nn linapokuja swala la diamond kupata kitu fln mara nyingi mnakimbilia kusema kanunua nakumbuka kuna kipindi mond alikimbiza sana kwny swala la tuzo yakaibuka mambo kibao kuwa jamaa anahonga na ananunua tuzo, but ilipofika zamu ya kiba kuchukua tuzo hayo mambo hatukuyaona so kiba akifanikiwa kafanikiwa kwa halali ila mond akipata mafanikio kanunua....seduce me ilipotoka ilipigiwa promo na kampeni kila angle na kupelekea kupata viewz nying kwa mda mchache lkn mbona team domo hawakuja na izo hoja dhaifu za kununua.....iv domo ana hela kiasi gani kila kitu anunue ili iweje na ili amfurahishe nani.
Unafikiri YouTube ni wajinga kiasi gan mpk wakulipe mkwnja wa matangazo huku viewz zako za magumashi...kuna kipondi mond alipata hadi tuzo yeye na millard ayo kutoka YouTube so unataka kunambia na hapo aliwahonga wampe tuzo wazungu wenye akili zao?
Nitampata wapi ina viewz zaid ya 15M na inaizidi mwana ambayo ilitoka kabla na zote zipo youtube.
Kwa upande wa vevo kiba ndo wakwanza kujiunga kabla ya mond ila nenda kaangalie nani ana subs wengi huku mond hayupo active kule.