Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Unafikir baba yake juma lokole, Anko T wanajivunia watoto wao?Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Mambo ya kukosa mtoto sababu ya kudindisha ni ya wenye njaa. Pesa ikiwepo mbegu zinachokonolewa huko huko zinapotengenezwa na mimba inatungishwa hata bila kuingiliana kimwili.Maji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Matajiri stress watoe wapi kibunda kimejaa kila sehemu?Maji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Vipi wameshaolewa?Dangote amejaliwa kupata watoto watatu wakike ambao ni Halima,Fatima na Marya na wote tayari wanashikilia nafasi za juu za uongozi kwenye kampuni za baba yao.
Chanzo: Tuko News
Hapo ukute kuna mtoto sio wake ila alishikishwa tu na mkewe halafu mke ametunza Siri!Tajiri namba moja barani Afrika,Aliko Dangote amesema kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake.
Dangote alisema hayo wakati wa mahujiano na kituo cha televisheni cha Arise News cha nchini Nigeria.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Dangote kama ana mpango wowote kuhusu kupata mtoto wa kiume kwa sababu kwa utamaduni wa huko Kano anapotokea Dangote,mtoto wa kiume ndiye mrithi na muendelezaji wa jina la familia.
Dangote alijibu kuwa kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake na pia Mungu ndiye anaeamua akupe mtoto wa jinsia ipi. Pia alisema wakati mwingine unaweza kuomba upate mtoto wa kiume lakini yeye ndio akawa chanzo cha kudondosha chini jina la familia.
Vilevile Dangote alimalizia kwa kusema,haamini kama watoto wa kiume wangeendesha kampuni zake kwa ufanisi zaidi kuliko mabinti zake wanavyofanya sasa.
Dangote amejaliwa kupata watoto watatu wakike ambao ni Halima,Fatima na Marya na wote tayari wanashikilia nafasi za juu za uongozi kwenye kampuni za baba yao.
Chanzo: Tuko News
Tofautisha kipaumbele na ndoto mkuu.Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Sema watoto wa tajiri wamegoma aisee.Tajiri namba moja barani Afrika,Aliko Dangote amesema kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake.
Dangote alisema hayo wakati wa mahujiano na kituo cha televisheni cha Arise News cha nchini Nigeria.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Dangote kama ana mpango wowote kuhusu kupata mtoto wa kiume kwa sababu kwa utamaduni wa huko Kano anapotokea Dangote,mtoto wa kiume ndiye mrithi na muendelezaji wa jina la familia.
Dangote alijibu kuwa kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake na pia Mungu ndiye anaeamua akupe mtoto wa jinsia ipi. Pia alisema wakati mwingine unaweza kuomba upate mtoto wa kiume lakini yeye ndio akawa chanzo cha kudondosha chini jina la familia.
Vilevile Dangote alimalizia kwa kusema,haamini kama watoto wa kiume wangeendesha kampuni zake kwa ufanisi zaidi kuliko mabinti zake wanavyofanya sasa.
Dangote amejaliwa kupata watoto watatu wakike ambao ni Halima,Fatima na Marya na wote tayari wanashikilia nafasi za juu za uongozi kwenye kampuni za baba yao.
Chanzo: Tuko News
Ndio wameolewa.Vipi wameshaolewa?
Ndio ana mtoto wake wa kiume wa kuasili anaitwa Abdulrahman kama sijakosea,lakini kwenye biashara za familia sijaona jina lake .Ana mtoto wa kiume wa kuasili. Ila inasemekana hajaingizwa kwenye biashara za familia.
Hoja kuu ni uwezo si jinsia. Sio kila mtoto anakuwa unavyotaka awe, mwingine anaweza kutaka maisha ya kawaida na akajitenga kabisa na biashara za familia. Mabinti wameonesha uwezo.
Wamegoma nini mkuu??Sema wa
Sema watoto wa tajiri wamegoma aisee.
Amekosaje mkuu amekwambia anatafuta? Angekuwa anatafuta ungekuta ana watoto 10 wakike huyo ndiye mtu anatafuta jinsia fulani lakini mtu ana watoto wawili au watatu huwezi kusema anatafuta jinsia fulani. Halafu maana ya urijali ni tofauti na jinsia ya mtoto utakaye mpata. Jinsia ya mtoto haitokani na mwanaume peke yake bali itategemea pia mzunguko wa mwanamke, hali ya uke wake, na mazingira ya ukeni. Tatizo hamuendi shele mnakuja kusumbua huku mtandaoniNarudia tena asijikoshe, mwanaume yeyote rijali atataka kupata mtoto wa kiume katika watoto wake atakaozaa, siongelei nyie mashoga na watoto wa single mothers naongelea real men. Yeye kakosa mtoto wa kiume basi atulie asijioshe na kusema sio kipaumbele chake.
UhakikaHuwa ni kipaumbele cha watu wajinga na wajima