Aliko Dangote asema kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake

Aliko Dangote asema kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake

Kuna wanaume hawataki watoto kabisa, si wa kike wala kiume.

Kuna jamii zimeshajiondoa kwenye ubaguzi wa jinsia na unyanyapaa wa kuona mtoto wa kike ni kama nusu mtoto. Kitu ambacho unafanya hapa.

Usifikiri unavyoona kijijini kwenu huko dunia nzima ndiyo iko hivyo.
Sasa atajuaje dunia ikoje kama yeye dunia yake yote iko kijijini kwao
 
Moto hauzai moto huyu jamaa na mihela yote hana kijana na ukweli ni kwamba wanawake ukimuachia ukwasi kama ule ataolewa mali zile zinaenda upande huo wa mumewe ...na pia mtu kama Raila na jina lake alivyojenga angekua na kijana ana akili kidogo angepitia upepo wa Raila akawa Kiongozi mkubwa kama Tshekedi alivyotumia upepo wa Baba yake tu kupata Urais.....

Jiulizeni hata hapa Tanganyika Nyerere angekua na mtoto au mjukuu anaejielewa angeenda mbali sana....Sasa tumebakia na majizi yanatumaliza kwa kupokezana;;;;
Mali za Dangote hazihami mkuu kwenda popote,kampuni yake haiendeshwi kwa mila na desturi.
 
Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Kila mtu ana matamanio, lkn tunapaswa kuridhika na matokeo na kuacha nature ichukue mkondo wake, nafikiri ndicho alicho maanisha.
 
Ndoto ya mwanaume mwenye akili ni kupata mtoto na sio mtoto wa jinsia fulani.
Maana Kwa dunia ya Sasa furaha yako na mafanikio yako yatatokana na mipango,elimu ,na uwajibikaji wako na si kuwa na mtoto wa jinsia fulani.
Noted mkuu. Nice comment.
 
Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Basi ndoto za wengi zimekatishwa maana baadhi ya watu maarufu wasio na watoto wa kiume ni;
1. Xi Jinping
2. George Bush
3. Bill Clinton
4. Barack Obama
5. Bill Gates
6. King of Japan
7. King of Spain
8. King of The Netherlands
9. Chriss Rock
10. Jamie Foxx
 
Maji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Umeshasema ni Tajiri ,kupata mtoto wa kiume sio shida kwake hata kama ameshakua maji ya jioni.
Tena mtoto wa kwake halali kabisa.
Hoja Yako ya maji ya jioni na kushindwa kudindisha Haina mashiko kwa sababu, wakati anapata mtoto wa Tatu alikua bado ni kijana mwenye nguvu na uwezo wa kuzaa zaidi ama kuoa mke mwingine kwa Imani yake na desturi za kiafrika za wake wengi,angeweza kuendelea kutafuta watoto zaidi na Zaidi kwa kutegemea kupata mtoto wa kiume kama ilivyo kwa makabila mengi ya kiafrika,
Unakuta mtu ana watoto tisa akitegemea kupata mtoto wa kiume.
Lkn Tajiri aliishia watoto watatu Kwa mke mmoja.
 
Basi ndoto za wengi zimekatishwa maana baadhi ya watu maarufu wasio na watoto wa kiume ni;
1. Xi Jinping
2. George Bush
3. Bill Clinton
4. Barack Obama
5. Bill Gates
6. King of Japan
7. King of Spain
8. King of The Netherlands
9. Chrisd Rock
10. Jamie Foxx
Vladimir Putin

Mara nyingi familia za kiafrika hupenda sana watoto wa kiume kuruthi Mali,na pengine familia zenye tamaduni za kale
 
Moto hauzai moto huyu jamaa na mihela yote hana kijana na ukweli ni kwamba wanawake ukimuachia ukwasi kama ule ataolewa mali zile zinaenda upande huo wa mumewe ...na pia mtu kama Raila na jina lake alivyojenga angekua na kijana ana akili kidogo angepitia upepo wa Raila akawa Kiongozi mkubwa kama Tshekedi alivyotumia upepo wa Baba yake tu kupata Urais.....

Jiulizeni hata hapa Tanganyika Nyerere angekua na mtoto au mjukuu anaejielewa angeenda mbali sana....Sasa tumebakia na majizi yanatumaliza kwa kupokezana;;;;
Haya mambo ya akiolewa mali zinaenda kwa mume ni ya kwetu pangu pakavu. Ownership na urithi ili kuendeleza mali na taasisi hazifungwi na jinsia.
 
Haya mambo ya akiolewa mali zinaenda kwa mume ni ya kwetu pangu pakavu. Ownership na urithi ili kuendeleza mali na taasisi hazifungwi na jinsia.
Na kampuni zake tayari zipo kwenye masoko ya hisa, hakuna cha upande wa mume au wa nani, umma tayari unashiriki umiliki wa mali hizo. Upande wa mume hawana chao hapo
 
Back
Top Bottom