True. Yaani ukishaanza kusikia mambo ya mali anarithi mtoto wa kiume hata kama ni mvuta bangi basi ujue hizo mali ni fremu, malori ya mchanga, maguta n.k.Na kampuni zake tayari zipo kwenye masoko ya hisa, hakuna cha upande wa mume au wa nani, umma tayari unashiriki umiliki wa mali hizo. Upande wa mume hawana chao hapo
Haya mautajiri yana siri nyingi sana. No wonder hicho alichouliza mtangazaji ndio siri ya utajiri wenyewe!Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Mautajiri yana siri nyingi sana! Probably, hali ilivyo ndio utajiri wenyewe. Ingekuwa wewe ungechagua lipi.Tofautisha kipaumbele na ndoto mkuu.
Amesema si kipaumbele chake na yupo sawa maana kama ni jina ana jina lenye heshima kuliko hata wenye watoto 10 wa kiume wanaokula ugali na kujisaidia tu huko majumbani.
Mh! How? Ana mabinti wazuri, wasomi ujue. Very intelligent daughters of Dangote.Dangote hana mke,ni single faza.
Unamtaka yupi? Halima, Fatima, au Mariya mharibifu wewe?Wakuu mnaonaje mkinipigia pande akanichukua Mimi nikawa mwanae wa kiume niongoze kampuni zake kwa uaminifu kabisa🙏nitampelekea na jezi mpya ya Taifa stazi yenye jina la SAMIA
Alioa mara mbili tofauti na wake zake wote alishaachana nao.Mh! How? Ana mabinti wazuri, wasomi ujue. Very intelligent daughters of Dangote.
Hao unaowataja mbona washaolewa tayari??Unamtaka yupi? Halima, Fatima, au Mariya mharibifu wewe?
Pesa as long as ni halali haki na inayotokana na uchapakazi wangu.Mautajiri yana siri nyingi sana! Probably, hali ilivyo ndio utajiri wenyewe. Ingekuwa wewe ungechagua lipi.
In fact the tycoon most of the time yuko na binti zake kwenye matukio. Never seen with his wife. Mh!Alioa mara mbili tofauti na wake zake wote alishaachana nao.
Every rule has an exception. Jitihada zako tu.Hao unaowataja mbona washaolewa tayari??
UzengeMaji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Mungu hakupi vyote...Naombeni kuuliza?
Hivi kwa nini ni mara chache sana kukuta wenye hela wana watoto wengi?