Sasa atajuaje dunia ikoje kama yeye dunia yake yote iko kijijini kwaoKuna wanaume hawataki watoto kabisa, si wa kike wala kiume.
Kuna jamii zimeshajiondoa kwenye ubaguzi wa jinsia na unyanyapaa wa kuona mtoto wa kike ni kama nusu mtoto. Kitu ambacho unafanya hapa.
Usifikiri unavyoona kijijini kwenu huko dunia nzima ndiyo iko hivyo.
Kwa hiyo kamw hadindishi na mbegu pia kaishiwa? Tusome jamani tusome 😁Maji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Nimesikitika sana.Nchi hii inachangamoto moto nyingi, Moja wapo ni kuwa na Quality Human Capital, Imagine huyo Jamaa Leo 2026 anafikiria hivyo.
Ndiyo asome hata mtandaoni sasa kama kashindwa kutembea.Sasa atajuaje dunia ikoje kama yeye dunia yake yote iko kijijini kwao
Dangote hana mke,ni single faza.Hapo ukute kuna mtoto sio wake ila alishikishwa tu na mkewe halafu mke ametunza Siri!
Mali za Dangote hazihami mkuu kwenda popote,kampuni yake haiendeshwi kwa mila na desturi.Moto hauzai moto huyu jamaa na mihela yote hana kijana na ukweli ni kwamba wanawake ukimuachia ukwasi kama ule ataolewa mali zile zinaenda upande huo wa mumewe ...na pia mtu kama Raila na jina lake alivyojenga angekua na kijana ana akili kidogo angepitia upepo wa Raila akawa Kiongozi mkubwa kama Tshekedi alivyotumia upepo wa Baba yake tu kupata Urais.....
Jiulizeni hata hapa Tanganyika Nyerere angekua na mtoto au mjukuu anaejielewa angeenda mbali sana....Sasa tumebakia na majizi yanatumaliza kwa kupokezana;;;;
Kila mtu ana matamanio, lkn tunapaswa kuridhika na matokeo na kuacha nature ichukue mkondo wake, nafikiri ndicho alicho maanisha.Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Noted mkuu. Nice comment.Ndoto ya mwanaume mwenye akili ni kupata mtoto na sio mtoto wa jinsia fulani.
Maana Kwa dunia ya Sasa furaha yako na mafanikio yako yatatokana na mipango,elimu ,na uwajibikaji wako na si kuwa na mtoto wa jinsia fulani.
Basi ndoto za wengi zimekatishwa maana baadhi ya watu maarufu wasio na watoto wa kiume ni;Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Umeshasema ni Tajiri ,kupata mtoto wa kiume sio shida kwake hata kama ameshakua maji ya jioni.Maji ya jiooni... pengine hadindishi tena, na hivi matajajiri wana stress
Vladimir PutinBasi ndoto za wengi zimekatishwa maana baadhi ya watu maarufu wasio na watoto wa kiume ni;
1. Xi Jinping
2. George Bush
3. Bill Clinton
4. Barack Obama
5. Bill Gates
6. King of Japan
7. King of Spain
8. King of The Netherlands
9. Chrisd Rock
10. Jamie Foxx
Sio ndoto ya Kila Mwanaume,Bali ni ndoto ya baadhi ya wanaume,hususani baadhi ya waafrika.Aache uongo, mtoto wa kiume ni ndoto ya kila mwanaume, Mungu hakupi vyote so asijikoshe.
Urithi wenyewe wanao basi😅😅Vladimir Putin
Mara nyingi familia za kiafrika hupenda sana watoto wa kiume kuruthi Mali,na pengine familia zenye tamaduni za kale
Kwa hiyo kamw hadindishi na mbegu pia kaishiwa? Tusome jamani tusome
Kwa hiyo kamw hadindishi na mbegu pia kaishiwa? Tusome jamani tusome 😁
Matajiri stress watoe wapi kibunda kimejaa kila sehemu?
Haya mambo ya akiolewa mali zinaenda kwa mume ni ya kwetu pangu pakavu. Ownership na urithi ili kuendeleza mali na taasisi hazifungwi na jinsia.Moto hauzai moto huyu jamaa na mihela yote hana kijana na ukweli ni kwamba wanawake ukimuachia ukwasi kama ule ataolewa mali zile zinaenda upande huo wa mumewe ...na pia mtu kama Raila na jina lake alivyojenga angekua na kijana ana akili kidogo angepitia upepo wa Raila akawa Kiongozi mkubwa kama Tshekedi alivyotumia upepo wa Baba yake tu kupata Urais.....
Jiulizeni hata hapa Tanganyika Nyerere angekua na mtoto au mjukuu anaejielewa angeenda mbali sana....Sasa tumebakia na majizi yanatumaliza kwa kupokezana;;;;
Hahahaha,kampuni yake haiendeshwi kwa mila na desturi.
Na kampuni zake tayari zipo kwenye masoko ya hisa, hakuna cha upande wa mume au wa nani, umma tayari unashiriki umiliki wa mali hizo. Upande wa mume hawana chao hapoHaya mambo ya akiolewa mali zinaenda kwa mume ni ya kwetu pangu pakavu. Ownership na urithi ili kuendeleza mali na taasisi hazifungwi na jinsia.