Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajisahaulisha kwamba niliichakata ya Hanifa (mashetani feki) hadi akahamia kwangu!
Sasa hanifa si alikuchoreshea yeye mwenyewe, ila mbususu unazozitafuta wewe hujawahi kuzipata. Nina uhakika huyo dogo wa pipi atakuharibia tu, huyo ni kama mabaunsa wa kwa mkapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahah tunahakikisha hupumui, mtaani una akina ustadh... jf una id zinazoanza na "mume" yaan tajiri unateseka sana🀣🀣
 
Nishabeti na Binti Sayunii sijabadili maamuzi. Hapo hata nusu ya mali zangu naweka. Nna uhakika kwa hiyo nyota yako hiyo siku hukula labda siku nyingine. Unaanza tu eti unasema, "mapaja yana joto kama ikulu yenyewe" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…