Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake...
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.

Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake...
Aaaagh kuna episode umeruka. Tuelezee mlijuanaje. Hii unaweza kuiruka.

Twende sasa pale umemkubalia aje nyumbani kwako, kumuomba mpaka kumnyima na kuondoka kwa hasira.

Vyake hujala?
 
Anayo haki ya kukasirika lakini sio kukulazimisha kufanya mapenzi it means wewe HAUNA HISIA naye za kimapenzi unataka awe rafiki yako tu ,hapo ndio TATIZO linapoaanzia ila kama una HISIA naye inabidi umueleweshe jinsi mahusiano yenu unavyotaka yawe
 
Back
Top Bottom