Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Sema wewe si mwanamke lazima mwanaume rijali atakutaka kimapenzi.binafsi Mimi sinaga mazoea na wanawake ovyo na sipendagi urafiki na mwanamke ni Bora tusalimiane tu lakini eti ah urafiki big NO ila nikimzoea mwanamke Hadi niwe na HISIA naye za kimapenzi

Ana bahati!

Kuna wengine hadi tunahisi huenda ni 'pepo' maana tukikaa na mtu wa jinsi tofauti kwa muda kidogo mambaye sio ndg mkiwa wawili, unashangaa ashaanza kutamani kukushikashika!wewe
 
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Wewe sio kwa wahuni kama mimi, huwezi kunifukuza nakupiga pumbu na kulala nalala na chai asubuhi utaniandalia fresh bila kinyongo.
 
Back
Top Bottom