Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Tofauti ni moja tu!... kule kwa watasha hawana magonjwa ya kishenzishenzi na sio wachafu wachafu kama hawa cha wote wa hapa. Huku ukipewa chezo kirahisi jiandae kuibuka na U.T.I babkubwa, kisonono, kaswende au HIV kabisa!Hata bongo wa hivyo wapo.
Wanaitwa cha wote au changu doa...
Unaweza tu kuwafuata.
But once it comes to friendship, rules & laws shall be applied!