Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mungu katuumba tutegemeane... usiwe hivyo. Ama kweli we bandidu 🥺😣Siwez kukaa nalionea huruma jitu zima lenye nywele kila kona kwa ujinga wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu katuumba tutegemeane... usiwe hivyo. Ama kweli we bandidu 🥺😣Siwez kukaa nalionea huruma jitu zima lenye nywele kila kona kwa ujinga wake.
Umesema vyemaMwanaume haonewi huruma ila heshima ndo anajipigania. Ni upumbavu Kwa wanaume kutaka huruma.
Ila hajatuumba Ili tumwasi, kutegemeana isiwe sababu ya kuomba vitu vya ajabuMungu katuumba tutegemeane... usiwe hivyo. Ama kweli we bandindu 🥺😣
Mbona unamuita mwenzio Kilaza bro?We hata mada hujaielewa... soma tena! Hayazungumziwi mahusiano hapo. TULIZAGA AKILI WE KILAZA
Hakuna anaepinga hilo heshima kikubwa zaidMungu katuumba tutegemeane... usiwe hivyo. Ama kweli we bandidu 🥺😣
Kwa harakaharaka nimekusoma huna exposure ndo kinachokuvuruga. Nani kakwambia watu mkibanduana ni lazima muwe wapenzi?!Ni mahusiano ndo mada yenyewe anaforce kupewa mbususu as if ni kama mpenzi wake, mtoa mada kasema anamuona kama rafiki, kwanini mnataka kuforce?
Sikuunga point yake ya kuonewa huruma ya kupewa mbususu, mbususu haipatikani kihurumahuruma, mbususu inapiganiwa kwa akili na sio kwa kuforce.Mbona unamuita mwenzio Kilaza bro?
Eti vitu vya ajabu 😂😂😂😂Ila hajatuumba Ili tumwasi, kutegemeana isiwe sababu ya kuomba vitu vya ajabu
Sex for benefit inategemeana sana na emotional connection, unaweza kuwa na rafiki ila mmetengeneza emotional connection kama wapenzi ila sio wapenzi.Kwa harakaharaka nimekusoma huna exposure ndo kinachokuvuruga. Nani kakwambia watu mkibanduana ni lazima muwe wapenzi?!
Alikuomba nyapu niniYani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Mi mwanaume mkuu kuwa na heshima.Eti vitu vya ajabu 😂😂😂😂
Nyie ndo mkipata chance mnabebeshwa na mimba
Kwani mwenzako akikufungukia anaomba mambo flani ndo ameku-direspect?! Dahh! Wanawake wa kiafrika bana 🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️Hakuna anaepinga hilo heshima kikubwa zaid
Hapa umesema la maana na hili nalijua wazi na kuliunga mkono na mguu😊👍🏾Sikuunga point yake ya kuonewa huruma ya kupewa mbususu, mbususu haipatikani kihurumahuruma, mbususu inapiganiwa kwa akili na sio kwa kuforce.
Inategemea na connection uliyotengeneza.Kwani mwenzako akikufungukia anaomba mambo flani ndo ameku-direspect?! Dahh! Wanawake wa kiafrika bana 🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Hivi ww ungekua mwanamke ungeweza kupeana mbususu yako kwa kila anaekuomba?Kwani mwenzako akikufungukia anaomba mambo flani ndo ameku-direspect?! Dahh! Wanawake wa kiafrika bana 🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Ya kweli hayo?! Mbona mada zako unatoa unaonekana kama jinsia kinzani?! Au mchele mchele?! 🤔Mi mwanaume mkuu kuwa na heshima.
Hapana, Niko upande wa ki-Uungu zaidi.Ya kweli hayo?! Mbona mada zako unatoa unaonekana kama jinsia kinzani?! Au mchele mchele?! 🤔
😂😂Wee acha