Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Ya kweli hayo?! Mbona mada zako unatoa unaonekana kama jinsia kinzani?! Au mchele mchele?! 🤔
Na pia nasapoti hoja ya Masculinity, Masculinity inahusu wanaume wanaojitegemea, huwezi kula mbususu nyumbani Kwa mwanamke, mbususu iliwe kwako, huo ndo uanaume.
Inaonyesha hutegemei vitu vingi kutoka kwake Wala hutaki huruma yoyote.
 
Hivi ww ungekua mwanamke ungeweza kupeana mbususu yako kwa kila anaekuomba?
Eeh ndio wanawake wa kiafrika kumbe hao wa kizungu wanagongwa na kila anaewaomba.
Basi hongera zao.
Hapa hatuwezi kuelewana. Hebu kesho tuonane tuongee vizuri 🤔 tupeane lecture
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake..
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani...
Kama nyie msivtiweza kuwa na mwanaume bila kuomba hela ndivyo na wanaume haturuhusu kutumika bila kujilipa
 
Mkuu kama uko mnono huoni kama nidhambi kumlaumu huyo friend wako!!
urafiki wa Me & Ke bila vihekaheka vya kuviziana ni unafiki
BORA LAWAMA KULIKO FEDHEA!!! 💪💪
 
Back
Top Bottom