Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Usialike watu hovyo sasa na usile hela zao.Nyumbani kwangu lazima kuwe na mipaka.
Yani uwe muhuni sijui uweje hyo juu yako lkn kweny nyumba angu aiseh lazima kuheshimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usialike watu hovyo sasa na usile hela zao.Nyumbani kwangu lazima kuwe na mipaka.
Yani uwe muhuni sijui uweje hyo juu yako lkn kweny nyumba angu aiseh lazima kuheshimu.
Duuuh ila hela za kusuka na vocha na kodi ulikua unaona raha kumuomba eeeh????Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Hata mwanamke akionyesha wazi kukupenda halafu ukampuuza anakuchukia.Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake...
Hauna kavideo tuone[emoji3][emoji3]Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Hiii pointi🤣🤣🤣Kama nyie msivtiweza kuwa na mwanaume bila kuomba hela ndivyo na wanaume haturuhusu kutumika bila kujilipa
Hii pointiNimeandika zaidi ya mara tano lakini nafuta.
Anyway kwaufupi tu;
MWANAMKE ACHA KULA PESA NA KUPOKEA ZAWADI KWA MWANAUME AMBAE HAUPO TAYARI KUMPA.
Vyake unavitaka ila akikuomba unatia tia huruma ety ooooh namuheshimu pumbaf, mbona pesa zake huziheshimu
Hakuna urafiki kati ya MWANAUME na Mwanamke zaidi ya Zinaa tuWanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake...
Ya kweli hayo?! Mbona mada zako unatoa unaonekana kama jinsia kinzani?! Au mchele mchele?! [emoji848]
Utakuwa salama Kama hujala cha mtu... Lkn Kama umekula...jiandae tu kupelekewa motoYani ulete uhuni nyumbani kwangu 😂😂😂
Basi utakua unaota bro tena ndoto za mchana.
Na wewe usile vyake..ulivyokuwa unakula pesa zake hukujua ameoa?? Lazima ulipie gharama.. Kama humtaki mtu achana naye acha kumfanya zoba Halfu ifike siku uzinguee.. moto utapelekewa tu. Hata kiubishibish utaonyesha ushirikiano mbele y safarTena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumie😂😂😂ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
Naona unatusagia kunguni[emoji3][emoji3][emoji3]Tena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumie[emoji23][emoji23][emoji23]ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
Hawez kuforce kama hamjatengeneza connection...lazima kulikuwa na dot..dot ndo zkonnectBora mtu akuombe unaweza mwambia kistarabu ndio au hapana.
Ety jitu linalazimisha alf sio bwana angu na sikuwai kufikilia.
NAKAZIA HAPA.Umeyaruhusu hayo yote wewe mwenyewe, kuna mambo mengine unaweza kuyaepuka mapema.
Mim si muhuni, siwez kufanya utoto huo.Hawez kuforce kama hamjatengeneza connection...lazima kulikuwa na dot..dot ndo zkonnect
Na kwa nn nile kitu cha mtu nisiemtaka.Utakuwa salama Kama hujala cha mtu... Lkn Kama umekula...jiandae tu kupelekewa moto
Na haitatokea.Unaongea as if nyege hazijawah kumaliziwa nyumban kwakoo...
Nenda Netflix utaikuta.Hauna kavideo tuone[emoji3][emoji3]