......nitoe uhauri tu Kwa wanawake hapa ifike wakati wasione kama kila mwanaume ni kama babaake au mamaake ambae anaweza kumpa kitu chochote kama zawadi for free, si kila mwanaume ndugu yake ambaye anaweza kumuomba chochote na akapata for free......
.......wanawake wamejijengea kautaratibu ka wizi na utapeli kwa wanaume kwa kutumia kigezo cha hisia za kimapenzi alizonazo mwanaume kwake(hii Sasa hivi inatambulika kwenye dawati la jinsia kama 'unyanyasaji wa kiuchumi wa wanawake dhidi ya wanaume'), I can assure you huyu mtoa mada toka mwanzo wanakutana sio kwamba hakujua kuwa Jamaa ana hisia nae kimapenzi, la hasha alijua na aliona ni fursa ya kunufaika..........
....utaratibu walio nao wanawake ni ile kwamba akitokea mwanaume ameonyesha interest kwake, wanachofanya kama hajakupenda wanakutumia kula mali na fedha zake, na kwamba ikitokea umemuomba mapenzi anasingizia kwamba we ni rafiki na anakuheshimu as if wapenzi wao wanaowapa mapenzi hawawaheshimu....
.........na hili wanawake wale mashosti huwa wanaelezana kabisa kwamba kama mwanaume anajileta kwako we kula wala usikatae ofa wala zawadi ila akitaka papuchi mwambie we rafiki ninaekuheshimu, na pia ikitokea mwanamke ana hisia na huyo mwanaume, haya yote huwezi kuyasikia na mwanamke ataipeleka papuchi ye mwenyewe na pia wanaweza kumalizana nyumbani kwa mwanamke kiroho safi kabisa bila hata ya maneno kwamba ooh! huniheshimu au hupaheshimu nyumbani kwangu, na pia huwezi kuona nyuzi za lawama humu.......
.........nb: mwanaume ukishaona dalili za kutokubalika kwa mwanamke ondoka mapema usiingize hasara zaidi, mwanamke atambue kwamba hakuna cha bure, wanaume wengine wakikosa papuchi lazima walipe kisasi kufidia gharama zao i.e. kubakwa, kulawitiwa, kupigwa na pengine kuuwawa.......