Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Ndio nilitembea uchi mbele yake.
Lovie mbona upo emotional sasa ,mimi kiukweli bado nashangaa sababu mwaliko utoe wewe,mazingira uweke wewe na kufukuza ufukuze wewe.Labda kuna kitu unakificha maana naamini huyo mwanaume ni mtu mzima na alikua na akili timamu.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.

Huo ni urafiki gani wa mwanaume kukulipia kodi ya nyumba kukununulia macho ma3 na viwalo

jiongeze, tekeleza wajibu wako
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Mula hurwa..,
 
Mimi naweza...ukiona hvyo alikuja na nia ya kukutaka kimapenz na sio urafiki wa kawaida au kuna mazingira ulimjengea na yeye akaona ajilipue kisha ww ukamtosa.....
 
Back
Top Bottom