Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nashukuru hiyo gia kwangu haijawahi kufaulu, tena km hamjui tunadharau sana me anaenyimwa chiu na mkewe, kwwnye kunyimwa kuna viashiria vingi mnoHii gia inaitwa""Mwana Ngendeka""ilianzishwa na wanaume mwaka 1995 baada ya mkutano wa wanawake pale Beijing🤣🤣😂😂