Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah umenichekesha sana mambo ya kwenye movie zile za kutafsiriwa unataka ziwe kweli hakuna urafiki wa Simba na Swala hata siku moja hata simba akiwa kashiba swala watakimbia tu ukiona swala anataka kutengeneza urafiki na Simba bila kuliwa Simba atakasirika mno...Hivi huwa wanafanya kusudi kupima msimamo wa mtu?
Lakini...kwanini atengeneze uadui pale anapokataliwa?