Duh inanikumbusha kitambo kidogo nilijikuta nipo kwenye urafiki na mrembo mmoja (sio wa kimapenzi) tulizoea na sana sana kwakuwa tulikuwa tunafanya kazi kwenye jengo moja, baadaye nikaona huu ni ubwege mkubwa, eti na urafiki na mtu ambaye siwezi kula tunda, nikajisemea ipo siku nitajikuta namuita shemeji hivi hivi, kwakuwa tulikuwa tumezoea na kiasi ambacho alikuwa anakuja getto na mimi naenda kwake, nikaona huu ni ujinga day moja alipokuja getto nikaomba mzigo, duh akataa kata kata kunipa papuchi tena akanuna kwelikweli, Dah nikaamua kumpoteza kiaina tunakutana tu lakini hatuongei sana kama zamani.
Nikaona ngoja nifanye igizo moja, alikuwa na rafiki yake hakuwa mzuri sana kisura kivile ila alikuwa very smart kichwani na usafi.
Day moja weekend niliomba tukutane Makambi la kuongea naye nikamwambia nitashukuru kama hata mwambia rafiki yake kwani jambo ninalotaka kuongea naye lina muhusu huyo rafiki yake.
Nakumbuka mpangilio wa maneno ya kutongoza, kinywaji, yeye akinywa wine, mimi Castle lager, kuku choma na baadaye kwenye mziki live pale Dar west ilifanikisha mimi kula tunda siku hiyo.
Closeness ikazidi kunyanduana kila weekend, jirani (rafiki yake au rafiki wa zamani) akajua mahusiano yetu wivu ukatamalaki wakavunja ushost, one day week jmosi rafiki wa zamani alikuwa na harusi ukumbi hauko mbali na ninapo ishi, alipotoka kwenye harusi tu kituo cha kwanza getto saa 6 usiku nasikia mtu anagonga huku nikiwa nimelala, kuamka na kufungua mtoto huyu hapa kapendeza balaa ila yupo nzuiiii kwa kilevi na machozi kwenye paja zake za uso, kuingia geto nikilio na kunishambulia kwa mangumi huku namuangalia tu.... kilichofuata ni historia na muendelezo wa kunyanduana kila mtu kwa wakati wake.