Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumkatilimwenzio umeona ujaaanja🤣Nyie mshazoea kila dem anaewaomba pesa ovyo ovyo ety.
Huyo alitumia njia hyo kwa sabb zake binafsi.
Usitufokee mkuuWalaji kimasihara wamepaniki baada mwenzao kupewa za mbavu walitaka iongezeke story kwenye kale kauzi kao ka ngono zembe 🤨
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Sio kila mbususu lazima muichungulie zingine ziwapite aiseeUsitufokee mkuu
......tatizo watu wanabisha asili, kimsingi hata mwanamke akitendewawema na mwanaume huwa analipa fadhila Kwa kutoa penzi, anatengeneza mazingira ya mahusiano hata kama ana mpunga wa kutosha......pia mwanaume a kiasili anatoa sehemu ya mali na fedha zake kama kufungua njia ya mahusiano na hili wanawake wanalijua...... ndo mana wanshauriwa kukataa mapema, tatizo tamaa, yaani akatae ofa na huduma hivihivi tu, hapana.......Kuna siku nilileta Uzi hapa nikauliza ni jinsi gani nitafanya marafiki zangu wa kike kwenye mishemishe wasiishie kuwa wapenzi wangu maana wengi mwishowe huwa wananipenda na hii inapelekea mkikorofishana mnapoteza uchumba hadi urafiki mliokuwa nao kwa muda mrefu na wengine unkuwa unafanya nao dili za hela, ajabu wanawake hawahawa wakaanza kusema ooh wewe mgonjwa leo huyu analalamika, then kuna watu wanawekeza sana kwenye sex akilala akiamka anawaza atafute demu akamzagamue
Isiyoliwa haramu.Sio kila mbususu lazima muichungulie zingine ziwapite aisee
Ushawahai kusikia maumivu ya kugomewa kugongwa yaan minyege imekushika jamaa yupo mshedede unauona unasimama Ila jamaa hataki kilipelekea Moto hilo tobo lako? Umewahi?Hata bongo wa hivyo wapo.
Wanaitwa cha wote au changu doa...
Unaweza tu kuwafuata.
But once it comes to friendship, rules & laws shall be applied!
Kwani mtoa mada kala nauli au hata akila walikubaliana malipo ni mbususu yaani jinsia yenu ina ulevi mbaya wa ngono kila mwanamke akiwa karibu mnataka awavulie nguo nadhani mna kaugonjwa si bure.Isiyoliwa haramu.
Mmiliki wa mbususu aoneshe ukomavu wa kutoshiriki ulaji wa nauli na jasho lisilo lake. Hapo adabu zitaambatana na vitovu vyetu
Kwan kupata mimba si jambo la heri lkn 😀Mi mwanaume mkuu kuwa na heshima.
Pale ukianza kudowea ndo unafukuzwa hapo hapo sio kusubiri mpaka chuzi lishukeNi kama aliyebanwa kuhara, yaani umbali mdogo tu anaweza akachafua boxer/chupi..!! Umeshikwashikwa ukiwa kwako, ukatomaswa vilivyo, ute huooooooo..!! We Kapeace usindanganye banaaa..!!
😂😂😂Enhee tunaonana lini!!.......kulogana mbali aisee, btw ni ngumu kumloga mtu usiemuona, ntaandaa utaratibu tuonane then baada ya hapo kwakweli mwenyewe hutaamini imekuaje.....
Nasubiri hiyo email, 😂😂😂Nakutumia email beby 🤣🤣🤣🤣🤣
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi🤣🤣🤣🤣😂😂
Kbs mwindaji mzuri siku zote yuko patient you control everything even the way you breath kabla huja-pull a trigger at where you aiming! Inafika level mwanamke ana-lose mind yake kbs!is where she becomes her na ndio hapo paradise ilipo especially ukiwa na pisi kali mno you will never regret maishani.Alikua hana cha kupoteza @ WAKUDAMISH
.......tatizo watu wanashindwa kutumia vizuri Uzi wa kimasihara wanaishia kwenda chaka......kwa namna wadau wanvyosimulia mule utagundua kuwa kimasihara inategemea kama wote mna hisia moja ila mazingira ni magumu au hayaruhusu au kuna factors zingine........kimsingi lazima mwanamke awea amekuelewa, tatizo watu wankurupuka, mtu anaamka tu aubuhi akikutana na mrembo yeyote anataka kimasihara hapohapo......Walaji kimasihara wamepaniki baada mwenzao kupewa za mbavu walitaka iongezeke story kwenye kale kauzi kao ka ngono zembe 🤨
KumekuchaHapana, Niko upande wa ki-Uungu zaidi.
Na Mimi sio shoga, siwezi muasi Mungu Mtakatifu wa Yakobo.
Nasubiri hiyo email, 😂😂😂
Naww si ungempa kama zawadi mbona wewe ukamnyima hio zawadiKwahiyo, kama amewahi kutoa hela au zawadi, ndio kigezo cha kutaka mapenzi kwa nguvu?