Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Hata nafsi yako inajua umeongea siyo kweli.

Yaani unapokea keepchange ili kuthibitisha kuna free meal?

Kwa hiyo, huyo mteja mwingine alikuwa standby anasubiri kuwa replaced?🀣

Nielekeze bana, hata kama unauza magunia ntanunua nikashone pazia
Unaisemea nafsi yangu mkuu yaani unataka kuniaminisha unanijua kuliko mimi mwenyewe basi sawa ubishi si sehemu ya Maisha yanguπŸ™Œ
 
Yani wewe uwe rafiki..tunashauriana...nakupa madini...halafu aje boya apige show...!!!
 
Kwan kuomba hela huwa mnasubiri hadi kuwe na urafiki Sababu mmekua mkiomba hela sana ndo maana watu wanataka mizgo fasta usije kimbia na hela ushakula.
 
Unakuta ni mtu unayemheshimu.
Na ujue kukubali huo ndio mwanzo wa kuendelea...
HAPANA...Kuna dada tulikubaliana kabisa kwamba leo ni mwanzo na mwisho na imekua hivyo,ingawa alisumbua sana kutaka hogo ila niliweka uso wa mbuzi.
 
Kuna mmoja nimemtimua juzi, mara ya 2 hii hataki kuliwa sasa sijui anakuja home kufanya nini? Na yeye ndo huwa anauliza vip upo, utakuwepo then anajileta.
Maajabu yake kaondoka bado anapiga simu kila muda sijui anataka tudiscuss nini?
 
Kuna mmoja nimemtimua juzi, mara ya 2 hii hataki kuliwa sasa sijui anakuja home kufanya nini? Na yeye ndo huwa anauliza vip upo, utakuwepo then anajileta.
Maajabu yake kaondoka bado anapiga simu kila muda sijui anataka tudiscuss nini?
Mpunguze tu, mtengenezee mazingira magumu hadi ajue kuwa umepunguza ushikaji nae ili aanze kulaumu na huo ndiyo muda muafaka wa kumchana makavu.
 
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.

Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Pumbavu sana,Yaani unafukuza mtu aliyekutoa Kwenye ubavu wake?!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…