Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana


Swali la msingi:

Ni tabia gani uliyonayo ambayo I nakufanya ukutane na uamini wanaume ambao sio wanaume wenye busara?

Tatizo ni wewe, unamletaje nyumbani mtu ambaye ujajirizisha ana sifa za wanaume mpaka uje kutuzalilisha wote huku?
 
....na nyie hamuwezi kuwa rafiki na mtu bila kula vyake?
 
Ni rahisi kuongea kuliko kutekeleza. Watu km nyie huwa mnaliwa papuchi mpaka inachakaa
Wenzio nao walikuwa kama wewe pesa nilichukua kwa kuwa sikuziomba shobo zao wenyewe wakanipa vimikwara vyao mbuzi mpaka leo tukionana heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…