Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.

Swali la msingi:

Ni tabia gani uliyonayo ambayo I nakufanya ukutane na uamini wanaume ambao sio wanaume wenye busara?

Tatizo ni wewe, unamletaje nyumbani mtu ambaye ujajirizisha ana sifa za wanaume mpaka uje kutuzalilisha wote huku?
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
....na nyie hamuwezi kuwa rafiki na mtu bila kula vyake?
 
Back
Top Bottom