Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Nimewahi mkuu ila wale wanao kuja kwa kitu ili wapate kitu hawa waliishia kulalamika kama wewe.
Halafu mbona umechukia kiasi hiki relax mkuu 😀
Mimi sijalalamika ila sitaki uwadanganye wenzio wasije kukutana na ya kuwakuta. Huenda pia ushapigwa sn huku ndani ila umebadili ID saivi unajikosha tu
 
Mimi sijalalamika ila sitaki uwadanganye wenzio wasije kukutana na ya kuwakuta. Huenda pia ushapigwa sn huku ndani ila umebadili ID saivi unajikosha tu
Kuna Mwanaume wa kunipiga humu ndani hebu ajitokeze na ushahidi mkuu acha makasirikio ya kijinga naelezea kama unakasirika kunywa sumu🤨
 
Wenzio nao walikuwa kama wewe pesa nilichukua kwa kuwa sikuziomba shobo zao wenyewe wakanipa vimikwara vyao mbuzi mpaka leo tukionana heshima
.........lakini next time usifanye hivyo tena, we ukiona Jamaa hujamuelewa mpotezee kiaina, achana na ofa anazokupatia, we kataa tu as long as una mtu wako tayari anayekupatia mahitaji yako..........
 
.........lakini next time usifanye hivyo tena, we ukiona Jamaa hujamuelewa mpotezee kiaina, achana na ofa anazokupatia, we kataa tu as long as una mtu wako tayari anayekupatia mahitaji yako..........
Mkuu mda wa shobo na pesa ya Mwanaume sinaga napambana mwenyewe sasa kama kuna boya anajileta na vipesa vyake mbuzi kila ukimuelewesha anajitoa akili sina cha kufanya kwa kweli🤷🏼‍♀️
 
Wanaume wa humu jf wengi wao ni chenga tu.
Hapo mtoa mada angesema aliliwa nyumbani kwake ungeona vile wangempopoa kwamba hajiheshimu.
Ungejua au ungepata fursa ya kumuona kila huyo mwanaume ambaye hajielewi ungebaki mdomo wazi 😊

Shukuru anonimity policy inayowapeni jeuri za kuwaona wanaume wa humu hawajielewi, malofa, wahuni na kadhalika.
 
Back
Top Bottom