Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Kipind nakula vyake ulikuepo?Sasa kwanini ulikula na vyake na vyako hutaki viliwe.
Magufuli alisisitiza Win win situation.
#YNWA
Au unatafuta kusutwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipind nakula vyake ulikuepo?Sasa kwanini ulikula na vyake na vyako hutaki viliwe.
Magufuli alisisitiza Win win situation.
#YNWA
Mimi sijalalamika ila sitaki uwadanganye wenzio wasije kukutana na ya kuwakuta. Huenda pia ushapigwa sn huku ndani ila umebadili ID saivi unajikosha tuNimewahi mkuu ila wale wanao kuja kwa kitu ili wapate kitu hawa waliishia kulalamika kama wewe.
Halafu mbona umechukia kiasi hiki relax mkuu 😀
Kuna Mwanaume wa kunipiga humu ndani hebu ajitokeze na ushahidi mkuu acha makasirikio ya kijinga naelezea kama unakasirika kunywa sumu🤨Mimi sijalalamika ila sitaki uwadanganye wenzio wasije kukutana na ya kuwakuta. Huenda pia ushapigwa sn huku ndani ila umebadili ID saivi unajikosha tu
.......hahahaaa hajakutukana ni kama mshangao fulani tuu......Pumbavu mwenyewe.
Nimekusikia mkuuAchaga ujinga we nae 😂
.........lakini next time usifanye hivyo tena, we ukiona Jamaa hujamuelewa mpotezee kiaina, achana na ofa anazokupatia, we kataa tu as long as una mtu wako tayari anayekupatia mahitaji yako..........Wenzio nao walikuwa kama wewe pesa nilichukua kwa kuwa sikuziomba shobo zao wenyewe wakanipa vimikwara vyao mbuzi mpaka leo tukionana heshima
hizi kauli hizi khaKatika vitu sijawahi kufanya ni kuomba pesa kwa mtu kwanza nina bahati ya kupewa kabla sijaomba namshukuru Mungu kwa bahati hii aliyonipatia
Aise wee nae una maneno ya ajabu hivi😲😲😲Unajua watu wanafanya masihara sana.
Yani unalitoa ndani na liboro lake limevimba vivo hivo.
Mkuu mda wa shobo na pesa ya Mwanaume sinaga napambana mwenyewe sasa kama kuna boya anajileta na vipesa vyake mbuzi kila ukimuelewesha anajitoa akili sina cha kufanya kwa kweli🤷🏼♀️.........lakini next time usifanye hivyo tena, we ukiona Jamaa hujamuelewa mpotezee kiaina, achana na ofa anazokupatia, we kataa tu as long as una mtu wako tayari anayekupatia mahitaji yako..........
Wanawake mna weaknesses zenu ila mpk uwe mzoefu na wanawake ndio utazijua,wala sio pesa pekeeMnajua udhaifu upi?
Usiniambie pesa wengine pesa kwetu si kigezo ya kuvua pichu
Sawa tuKumkatilimwenzio umeona ujaaanja🤣
SawaYan umemdarau kila kitu, gari saivi imekuwa kigari, yan daah, kisa tu alitaka mchezo... Haya sawa sawa....
Sijaomba ndoa na nimeolewa,Sijaomba nyumba na nimejengewa pia sijaomba biashara nimefunguliwa duka kwa nini nisiongee ukweli😄😄hizi kauli hizi kha
Hiyo juu yako.Unajifanya hard to get ww!!
Mzeee usianike code hadharani,maana wakurugwa wakizitambua code tutasumbuana kule maeneo yetu ya kujidai🤣🤣🤣🤣Nakubali CDF niliyekupitisha bila kupingwa hapa JF... 💪🏼👍🏾
Ungejua au ungepata fursa ya kumuona kila huyo mwanaume ambaye hajielewi ungebaki mdomo wazi 😊Wanaume wa humu jf wengi wao ni chenga tu.
Hapo mtoa mada angesema aliliwa nyumbani kwake ungeona vile wangempopoa kwamba hajiheshimu.
hatujakuuliza kama umeolewa au la, yaani usitukatishe tamaa.😀😀😀😀😀Sijaomba ndoa na nimeolewa,Sijaomba nyumba na nimejengewa pia sijaomba biashara nimefunguliwa duka kwa nini nisiongee ukweli😄😄
Mim kuolewa kwangu sio stress kukosa afya na pesa ndio stressTANGAZO TANGAZO TANGAZO
Kwa mwanamke yeyote aliyefanya kama huyu Lovelovie, akifika 30 years of age hajaolewa, asije akatusumbua..!!! Na wala asiende kwa wachungaji kuombewa ili aolewe..!!!