Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Huwezi ukawa kwenye mahusiano na mwanaume halafu asitake never labda awe mgonjwa
 
Mkuu mda wa shobo na pesa ya Mwanaume sinaga napambana mwenyewe sasa kama kuna boya anajileta na vipesa vyake mbuzi kila ukimuelewesha anajitoa akili sina cha kufanya kwa kweli🤷🏼‍♀️
......sawa bibie ingawa Kikawaida kama humpendi mtu hamuwezi kufikia hatua kula tunda Kwa sababu utamkatalia Kwa nguvu zote hadi mgombane........so ni bora mkaachana hata kwa kugombana lakini hukula cha mtu kuliko kuvurugana ukiwa umekula vyake.......uzuri ni kuwa ulikutana na watu wazuri wapole na waelewa, ni ushauri tu lakini.......
 
Sawa na hiyo ilikuwa zamani kabla sijakuwa mhenga
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Urafiki wa Simba
 
Back
Top Bottom