Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Huwezi ukawa kwenye mahusiano na mwanaume halafu asitake never labda awe mgonjwa
 
Mkuu mda wa shobo na pesa ya Mwanaume sinaga napambana mwenyewe sasa kama kuna boya anajileta na vipesa vyake mbuzi kila ukimuelewesha anajitoa akili sina cha kufanya kwa kweli๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
......sawa bibie ingawa Kikawaida kama humpendi mtu hamuwezi kufikia hatua kula tunda Kwa sababu utamkatalia Kwa nguvu zote hadi mgombane........so ni bora mkaachana hata kwa kugombana lakini hukula cha mtu kuliko kuvurugana ukiwa umekula vyake.......uzuri ni kuwa ulikutana na watu wazuri wapole na waelewa, ni ushauri tu lakini.......
 
Sawa na hiyo ilikuwa zamani kabla sijakuwa mhenga
 
Urafiki wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ