Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Sasa hili jitu lilifikaje kwako 😀
Huyo alikua rfk angu kabisa wa miaka mingi na nilikua namuheshimu mno.
Kuhusu kuja kwangu haikua mara moja, Mara nyingi alikua akipita karibu na mitaa nayoish ananipgia simu dogo uko nyumbani kama nipo anakuja.
Kwa hyo alijileta mwenyewe mim sikumleta.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.

Women are for fu**ing, friendship comes last
 
Back
Top Bottom