Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Wanaume tunajidhalilisha sana kwa njaa ya ngono, ila na nyie wanawake wa ajabu, Kwani ungempa papuchi umgepungukiwa nini? LovelovieYani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.