Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Mwanamke yakupasa utambue hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwnamme,believe me!!, sasa wewe mwanamke eti unapokea offer za mwananamme huku ukiamini ni rafiki yako,kwani huyo mwanamme hana ndugu zake awape offer!?

Yakupasa ujue ,acha kuwa mtu wa kupenda offer za wanaume,kataa kabisa utaishia kugombana nao,huyo mwanamme yaonekana ushapokea vioffer vyake vingi sana akitumai utampa penzi lakini umemgeuka,usingekuwa mtu wa kupokea vizawadi vya mwanamme huyo, haya yasingekukuta.

Pole sana
 
Hivi! Hua mnamaanisha nini mnapodai kuwa hampo tayari! Ishu hua ni nini!!? Sijawahi kukutana na kadhia hii ila nikikumbana nayo pia sito elewa
 
Umemaliza kila kitu mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Anayo haki ya kukasirika lakini sio kukulazimisha kufanya mapenzi it means wewe HAUNA HISIA naye za kimapenzi unataka awe rafiki yako tu ,hapo ndio TATIZO linapoaanzia ila kama una HISIA naye inabidi umueleweshe jinsi mahusiano yenu unavyotaka yawe
Halafu na hela awe anaomba?
 
Umeona ee!
Yaani wanatakaga kugeuza wenzao uwanja wa mazoezi...mechi wanacheza kwingine.[emoji1787][emoji1787]
Unamfurusha kama mwizi
Kama unamfurumusha mtu kama mwizi ulimwita kwako kwanini?

Haya mambo ya wazungu ya kalikana nyumbani mwanamke na mwanaume haya apply kiafrika. Kama unataka awe rafiki tu mwambie na tena mkutane huko huko kwenye mishe mishe zenu, ila ukimuita kwako vishawishi vitakuwepo.
 
Kwahiyo, kama amewahi kutoa hela au zawadi, ndio kigezo cha kutaka mapenzi kwa nguvu?
Nyie tukijuana tu huwa mnatwambia mi napenda sana zawadi, mnatuambia siku ya birthdays zenu bila hata kuwauliza mnatwambia mnapenda kuletewa zawadi surprised siku za birthdays sijui mnapenda iphone kuanzia macho matatu hata kama ni za makumbusho na hata kama betri [emoji367] yake si nzuri mtabeba power banks kwenye pochi
Na yote haya mnatwambia Fasta bila hata kuulizwa, hamtaki kusubiri vitu vi flow naturally, mara hamu za pizza na chips mara 4 kwa wiki, sasa hapo unategemea nini kwa mfano.

Acheni hizo bana na sisi sio migodi.
Nyongeza; nimesahau na kuwa hamywagi local beers wala wines za dodoma, ninyi ni Savanah, Heineken na Windhoek hata kama zakumikiniwa Mabibo pale bora jina tu, wine zenu ni drostholf sijui na nini zile chupa kama ya chemli. Nyagi na kvant hamtaki, energy za mo na Azam kuchanganyia hamtaki mnataka redbull.

Na sisi tuna mioyo
 
Mbona unalia lia wewe? Kwani wanakushikia bunduki utoe? Achana nao tafuta malofa wenzio mtafune miwa
 
🤨🤨
 
.........heri yako wewe una uelewa wa mambo ya mahusiano na upo tayari kujisimamia, wenzio walio wengi ni wabinafsi na falsafa zao kwenye mahusiano ni kuhakikisha mwanaume yeyote haachwi salama regardless anampenda au au hampendi.......
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana, huo muda wa kujenga urafiki hawawezi kumbuka wao zikipanda akili zinawaruka: Ungeweza kufikiri siku Diamond amuache zari, Wema, Tanasha akitie kitoto kama Zuchu?
In short ukimualika mwanaume kwako, sharti la kwanza ujue yeye anajiandaa kupiga mzigo mambo ya urafiki baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…