Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Ila pia wapo wanawake wengine Ni wa hovyo Sana,unakuta mtu kashakula Sana vitu vyako ila ukimuomba penzi anaanza kupindisha pindisha, tatizo ukimwambia arudishe vitu vyako alivyokula anaona nogwa.

Kuna mianamike Dunia hii Ni misenge Sana.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Mama jitulize, tafuta mume uolewe. Hakuna urafiki wa kijana wa kike na wakiume usiohusisha ngono. Hakuna mapenzi usijidanganye.
 
Mmhhh, kwahiyo mfano ni staff member, au mme wa ndg yako, au jirani yako, hawezi kuja kwako kukutembelea na mkasaidiana kwenye shida hadi muwe wapenzi?
 
Siyo muwe "wapenzi" , akili zao zipo kwenye ngono tu. Hata awe mjomba'ko, ukisharuhusu muwe wawili oeke yenu, ujuwe fikra zake ni chini tu.
 
Mmhhh, kwahiyo mfano ni staff member, au mme wa ndg yako, au jirani yako, hawezi kuja kwako kukutembelea na mkasaidiana kwenye shida hadi muwe wapenzi?
Naona unajaribu kupindisha maneno, sasa wewe shemeji yako au jirani yako anahusikaje kimahusiano na wewe?!
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Alikuja kwako ghetoni ama?
Ndo ukute yale mambo ya karibu kitandani, sasa hapo unategemea nini?
Mens wants sex, needs food.
 
Ana bahati!

Kuna wengine tukikaa na mtu wa jinsi tofauti kwa muda kidogo (ambaye sio ndg) mkiwa wawili, unashangaa ashaanza kutamani kukushika shika!😔
Hiyo ni asili huwezi pingana nayo ingawa si lazima kuitii kila nguvu ya asili.
 
Back
Top Bottom