Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Yaani unanikaribisha nyumbani kwako nije kutalii? Kudadadeeki leta papuchi hiyo niisugue kama hautaki pita hivi.😡😡
 
Bora nisipate fursa ya kuwaona maana nitakuta wengine ni wazee wameshastaafu kabisa lakini wakija huku wanaandika mambo ya kijinga ambayo hata mtoto wa darasa la tano hawezi kuandika.
Ila wana pesa chafu na status kubwa chini.

Ukiwaona utaanza njaa zako na kujibebisha ulelewe na umsaliti huyo kijana uliyenae 😊😊😊👍🏾

Uliyenae anaweza kukununulia Villa Mikocheni au Mbezi beach? 😊
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki

Kuna watu wameendekeza ngono mpaka kero!
Sasa ulitaka tuendekeze nini😅😅
 
Ila wana pesa chafu na status kubwa chini.

Ukiwaona utaanza njaa zako na kujibebisha ulelewe na umsaliti huyo kijana uliyenae [emoji4][emoji4][emoji4][emoji1474]

Uliyenae anaweza kukununulia Villa Mikocheni au Mbezi beach? [emoji4]

Msikie huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wewe unadhani mimi nipo na kijana sio?
 
Urafiki halafu unautumia urafiki kibinafsi kujinufaisha. (Kumpiga piga vibomu)
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Shida sana kuwa mwanaume rijali. Ukitaka mroho..Ukipotezea haisimami au una kibamia. Sijuwi hata tufanye nini Kwa hawa viumbe wazuri?! 🤔😣😩😫
 
Back
Top Bottom