Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Uhuni upi unao zungumzia wewe maana kama watata nimekutana nao na nikawatoa nduki harafu sio kila Mwanamke dhaifu kama unavyo fikilia
Binadamu muda wote tunatakiwa tuombe Mungu tusikutane na mabalaa binadamu ni Wanyama sana hao unaosikia walichomwa na magunia ya mkaa ni binadamu waliokutana na walioshindwa kuvumilia...binadamu ni zaidi ya mnyama akiamua kufanya jambo lake wala usijisifie kwa kuwa umeepushwa kukutana na Wanyama ni kumshukuru Mungu..
 
Sio wanaume tu hata wanawake mnachukia tena mwanamke anachukua vibaya ukigoma kumkaza yaan anafura kwanin umemgomea ishanikuta mara nyingi hii,
Hao wanaofikia stage hiyo hakika ni Zero brains or beauties without brain.

Mm nikiona mtu hana mwelekeo namkwepa ghafla. Lakin nitapenda kupata updates zake. Lazma ataangukia pua huko mbeleni.

Ni afadhali mwanaume kukataliwa kuliko mwanamke. Hakuna haja ya kujivua heshima yako na kutupia mbwa.
 
Sasa urafiki na mwanamke bila mapenzi si itakuwa ushoga?
 
Na mimi nilikuwa najiuliza wasioheshimiwa wanaraha kiliko wanaoheshimiwa mfano mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa [emoji3][emoji3]

Nachotaka kushauri wanaume wote wapige vita kuheshimiwa ili wapewe nyuchiiii..
 
Ni afadhali mwanaume kukataliwa kuliko mwanamke.
Mimi nimeshaombwa mara kadhaa na wanawake kadhaa nilipogoma ni chuki mwanzo mwisho amefura mashavu mwingine anasema kabisa km hutaki kunibandua basi kuanzia leo sitaki tena mazoea na wewe hata story hataki tena kisa umegoma kumpa hakutafuti tena na mwisho wa kuwasiliana ndio unakua hapo nimeshamwagana na wengi kwa staili hio, sasa unajiangalia sometimes na mizunguko ya kazi nipo busy mtu unakua umechoka Ila mtu anataka umchobie chobue hajali upo na hali gani ukicheza chini ya kiwango dharau zinaanza
 
Hata hivyo [emoji163] manyoya vimeanza kuwa yeboyebo. Kifupi hakuna jipya. Trust me.

Wenzetu walioendelea miaka hiyo sie tukiwa maporini wamesha--observe hilo.
 
Inawezekana ila ni kwa mazingira haya. Kila mnapotoka out wewe ndie ulipie bills za mtoko na gharama za usafiri, mtumie vocha akiwa hana. Msaidie mambo madogo madogo na shida zake ndogo ndogo.

Mpigie simu kila siku asubuhi, mchana na jioni ukimjulia hali na kumuuliza kama amekula na anaendeleaje afya yake. Ukipata muda mfanyie shopping ya mahitaji yake. Na mkitoka sometimes mruhusu aalike marafiki zake ila wewe ndie ulipie hizo bili za mtoko za wote na rafiki zake.

In exchange yeye atakupa attention na urafiki. Halafu niambie unaweza kukaa katika hiyo status ya urafiki kwa muda gani hadi utakaposema sasa hapa nimeridhika kuwa huyu anaweza kuwa mwanaume wa maisha yangu ndipo muanze mahusiano.


Yaani ipo hivi. Watoto wa kike huwa mnataka kuwa na mahusiano ya kirafiki na wanaume ili muwatumie kupata mahitaji yenu personal in exchange for attention.

Yaani mwanamke anataka mwanaume amtoe out, atamwambia huyu mwanaume anayesema wawe marafiki naomba unikopeshe laki nitakurudishia na hatarudisha hata mia.

Akitoka out atataka huyu mwanaume ndie alipe bills na siajabu akaalika rafiki zake na hawana hata mia wamekuja na tumakalio twao tu kama mayai ya kanga. Kazi kukenua tu meno. Ataomba umchangie kodi, ataomba umsaidie kuhamisha vyombo, umletee chakula, umnunulie pedi sijui dawa, yote hiyo ni katika kukufyonza hali yako ya kiuchumi na kukudhoofu kiakili huku yeye akiwa anajivinjali na wale anaowaona ndio tabaka lake.

Na ukimuuliza atakwambia mimi nakuona kama kaka yangu.

Sasa dawa ni wewe ubebe hizo gharama halafu tuone huo urafiki utadumu kwa muda gani.
 
Anatakiwa ajali. Lakin sijajua kama ni mara ya kwanza ama unakuta ni mwendelezo. Kama ninmwendelezo ukawa hukutimiza huyo atakuwa amedoda. Mie nimewah sumbuka kwa mara ya kwanza lkn tuliposex for first alikuwa kama mraibu wa cocaine

Mpak wengne nawauliza si ulikuw unajishaua anajitetea oooh sikuwa vzr sijui nilikuw na shd flan.

Unamzoom tu.
 
Na mimi nilikuwa najiuliza wasioheshimiwa wanaraha kiliko wanaoheshimiwa mfano mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa [emoji3][emoji3]

Nachotaka kushauri wanaume wote wapige vita kuheshimiwa ili wapewe nyuchiiii..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi naamini heshima ndiyo ina7bisha mke wangu anioneshe alivyo waficha wengi. Najiheshimu na ananiheshimu.
 
Sina tabia hiyo ya kuomba omba hela za watu, unakuta ni jirani ama mteja, kuna ule ukaribu sasa siku anaamua kujitoa ufahamu ndo hapo ni kuwafukuza tu, hapa ofisini nilishafukuza wengi tu sitaki shobo
[emoji1787][emoji3] Kujifanya Hamnazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…