TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Yani ulete uhuni nyumbani kwangu πππ
Basi utakua unaota bro tena ndoto za mchana.
Kwahiyo ni mumeoπ ? Ama mchepuko?π,,au ni Mgane?Kwahiyo watu ambao sio vijana ni waume za watu? Wewe mwendawazimu nini?
Sasa kama nyumbani kwako unapaheshimu umenileta nije kufanya nini? Achia papuchi hiyo tuinyonye.Nyumbani kwangu lazima kuwe na mipaka.
Yani uwe muhuni sijui uweje hyo juu yako lkn kweny nyumba angu aiseh lazima kuheshimu.
Mama jitulize, tafuta mume uolewe. Hakuna urafiki wa kijana wa kike na wakiume usiohusisha ngono. Hakuna mapenzi usijidanganye.Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Yani wanaume hampatani na mwanamke anaejiamini, mnaumia sana, poleni[emoji1787][emoji3] Kujifanya Hamnazo!
Kwa akili zako fupi kama mbupu zako unahisi mim ndo nilimuita.Sasa kama nyumbani kwako unapaheshimu umenileta nije kufanya nini? Achia papuchi hiyo tuinyonye.
Hizo pumbu fupi ndio zinakufanya ugugumie mautamu kwa bedi, huku nikiwa nimekuweka style ya mbuzi kagoma kwenda.ππKwa akili zako fupi kama mbupu zako unahisi mim ndo nilimuita.
Bwana angu amebarikiwa sio kama ww bwana weeeh.Hizo pumbu fupi ndio zinakufanya ugugumie mautamu kwa bedi, huku nikiwa nimekuweka style ya mbuzi kagoma kwenda.ππ
Sasa za kwangu uliziona wapi? Kama sijakugegeda?Bwana angu amebarikiwa sio kama ww bwana weeeh.
Mmhhh, kwahiyo mfano ni staff member, au mme wa ndg yako, au jirani yako, hawezi kuja kwako kukutembelea na mkasaidiana kwenye shida hadi muwe wapenzi?Mama jitulize, tafuta mume uolewe. Hakuna urafiki wa kijana wa kike na wakiume usiohusisha ngono. Hakuna mapenzi usijidanganye.
Siyo muwe "wapenzi" , akili zao zipo kwenye ngono tu. Hata awe mjomba'ko, ukisharuhusu muwe wawili oeke yenu, ujuwe fikra zake ni chini tu.Mmhhh, kwahiyo mfano ni staff member, au mme wa ndg yako, au jirani yako, hawezi kuja kwako kukutembelea na mkasaidiana kwenye shida hadi muwe wapenzi?
Ndio ulinigegeda, kwa hyo unatakaje dogo?Sasa za kwangu uliziona wapi? Kama sijakugegeda?
Nasikia harufu ya damu,analogwa mtuNdio ulinigegeda, kwa hyo unatakaje dogo?
Muwe na kiasi bhana!Sasa ulitaka tuendekeze niniπ π
Naona unajaribu kupindisha maneno, sasa wewe shemeji yako au jirani yako anahusikaje kimahusiano na wewe?!Mmhhh, kwahiyo mfano ni staff member, au mme wa ndg yako, au jirani yako, hawezi kuja kwako kukutembelea na mkasaidiana kwenye shida hadi muwe wapenzi?
Sema hakuna urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume, huyo ndio factAkuna urafiki kati ya simba na swala labda simba mzee
Alikuja kwako ghetoni ama?Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Iongezee sauti tusikie woteNasikia harufu ya damu,analogwa mtu
Hiyo ni asili huwezi pingana nayo ingawa si lazima kuitii kila nguvu ya asili.Ana bahati!
Kuna wengine tukikaa na mtu wa jinsi tofauti kwa muda kidogo (ambaye sio ndg) mkiwa wawili, unashangaa ashaanza kutamani kukushika shika!π