Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Tena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumie[emoji23][emoji23][emoji23]ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
Hahahaha [emoji23][emoji23] pumbu utapigwa na chai utapika vzr sana asabuh
Unajishebedua tuu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Ulikuwa ushaliwa na mtu mwingine. Ni ndugu yako mpaka ulale naye bila ku-do. Acha utapeli wa mapenzi
 
Mbinu yako ishayumba, haijanishtua kabisa, muhimu mjifunze kutongoza mkachukue mbinu za kibabe kwa baba na babu zenu
Kutongoza hakunaga formula. Sema nini Kapeace, mwanamke yeyote ukianza kwa kumwambia wewe lazima nikupate, lazima asumbue tu. Lakini, kwa mfano, mimi nikimwambia Bantu Lady kuwa Kapeace lazima nimgonge na huku Kapeace mwenyewe hajui KWAMBA NIMESEMA MANENO HAYO KWA Bantu Lady , HAPO LAZIMA UNGONGWE..!! Piga ua..!!
 
Ule vitu vyake utake aishie kuwa rafik yako..
Tatuta shoga ndio liwe rafik yako... Mwanaume rijali lazima akuombe utelezi...
 
Kipindi hiko umeshakula muda na resources zake zingine while u knew exactly what does that symbolises kwake[emoji849][emoji16] ladies bhana
Mimi ni mmoja ya wanawake nayepigia kelele, wadada kama humtaki mtu usile vyake. Mimi kama sikutaki hutopata hata muda wa kuendelea kuwasiliana.

Achana na muda wako wala hela zako, hatutafika huko. Sijakuelewa nakata mawasiliano nawewe. Sitatumia senti 5 yako nyekundu.
 
Ungejua au ungepata fursa ya kumuona kila huyo mwanaume ambaye hajielewi ungebaki mdomo wazi [emoji4]

Shukuru anonimity policy inayowapeni jeuri za kuwaona wanaume wa humu hawajielewi, malofa, wahuni na kadhalika.
Bora nisipate fursa ya kuwaona maana nitakuta wengine ni wazee wameshastaafu kabisa lakini wakija huku wanaandika mambo ya kijinga ambayo hata mtoto wa darasa la tano hawezi kuandika.
 
Back
Top Bottom