Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Kwani ukitongoza lazima ukubaliwe? Huenda alikua ana mpenzi wake hakutaka mambo mengi...🚮
 
Nilichokuja kugundua wanawake wanakariri namba hata ikitokea ukimuacha au akikuacha nikiunganisha hicho kisa chako na kisa changu na baadhi ya wadau kwasababu mtu anakucha miaka minne au mitano ila unashangaa siku umeshasahau kabisa anakupigia simu amekumis wanawake kweli hawajui ku move on hasa yakiwakuta mazito huko walipo tarajia kupata fiedausi
 
Ulizingua, hukufanya poa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848] Nilitaka niseme na wewe mwanao afanyiwe kama huyo binti lkn nikakumbuka na Mimi nilishawai kumnyandua nyota mbili wa Migration ikiwa ni malipo ya kumsaidia kutoa mizigo wake ofisini ila milivyomaliza kumnyandua nikamblock....niliona kwann niende pccb kisa Mbususu [emoji847]
 

Mkuuu tungekua karibu ngekupa tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…