Tetesi: Alikuwa kipenzi cha wadada, leo hii hawatamani hata kumuona

Mnavyoedit picha mnapata faida gani?
Check hii ya Michelle Obama
 
Attachments

  • 20250706_152147.jpg
    20250706_152147.jpg
    181.9 KB · Views: 22
Picha zimechakachuliwa...

📰Taarifa mpya zinazogusa hisia zimethibitisha hali tete ya ndoa ya mwanamuziki nyota Justin Bieber na mkewe Hailey Bieber. Inadaiwa kuwa Hailey amefikia hatua ya kuchukizwa sana na ukaribu wa mumewe kiasi cha kuugua anapojaribu kumgusa au kumkaribia kimapenzi. 😔

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu, kila anapojaribu kuwa na ukaribu wa kimwili na Justin, Hailey hupatwa na hali ya kichefuchefu, wasiwasi mkubwa au hata kuumwa ghafla. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu afya ya ndoa yao na matatizo ya kihisia wanayokumbana nayo.

🔴 Lakini si hayo tu, taarifa nyingine zinasema kuwa kuna nyakati Justin hulala kwa muda mrefu mno hadi watu wake wa karibu hulazimika kumkagua ili kuhakikisha bado anapumua — jambo linalohusishwa na matumizi ya kupitiliza ya dawa.

🔚 Maisha ya mastaa yanaonekana ya kupendeza mbele ya kamera, lakini nyuma ya pazia kuna mateso, changamoto na maumivu makali.

🧠 Funzo la Maadili: Usihukumu maisha ya watu kwa kile unachokiona mtandaoni. Watu wengi huvaa tabasamu kuficha kilio cha ndani. Jali afya ya akili yako na wale uwapendao.
 
Huyo dogo picha zake nyingi siyo halisi wanazitengeza tu.
 
Yaani mkewe hivi sasa ana allergy na mmewe... hii hatari..
Wasanii maisha yao nyuma ya camera ya ajabu sana..
Kuna kipindi Kanye West chai yake asubuhi ilikuwa ni vodka...
Wanatumia sana pills kama zile Sedative hypnotic drugs.. wengine wanaji overdose.. wengine pombe kali, wegine wanaingia kwenye unga, wengine wanachanganya vyote..

Sasa sijui ni starehe ama ni stress ama vyote kwa pamoja.. jambo la kushukuru kama Bieber ni tajiri.. kama pesa haipo hapo ni habari nyingine..
Si alifirisika akauza haki miliki ya nyimbo zake zote kwa mabilion ya kitanzania
 
​
📰Taarifa mpya zinazogusa hisia zimethibitisha hali tete ya ndoa ya mwanamuziki nyota Justin Bieber na mkewe Hailey Bieber. Inadaiwa kuwa Hailey amefikia hatua ya kuchukizwa sana na ukaribu wa mumewe kiasi cha kuugua anapojaribu kumgusa au kumkaribia kimapenzi. 😔

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu, kila anapojaribu kuwa na ukaribu wa kimwili na Justin, Hailey hupatwa na hali ya kichefuchefu, wasiwasi mkubwa au hata kuumwa ghafla. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu afya ya ndoa yao na matatizo ya kihisia wanayokumbana nayo.

🔴 Lakini si hayo tu, taarifa nyingine zinasema kuwa kuna nyakati Justin hulala kwa muda mrefu mno hadi watu wake wa karibu hulazimika kumkagua ili kuhakikisha bado anapumua — jambo linalohusishwa na matumizi ya kupitiliza ya dawa.

🔚 Maisha ya mastaa yanaonekana ya kupendeza mbele ya kamera, lakini nyuma ya pazia kuna mateso, changamoto na maumivu makali.

🧠 Funzo la Maadili: Usihukumu maisha ya watu kwa kile unachokiona mtandaoni. Watu wengi huvaa tabasamu kuficha kilio cha ndani. Jali afya ya akili yako na wale uwapendao.
Angepata bahati ya kuja kuishi Tanzania chini ya uongozi wa Daktari Samia, stress zote zingemuisha.
 
Si alifirisika akauza haki miliki ya nyimbo zake zote kwa mabilion ya kitanzania
Bado ni tajiri, utajiri mkubwa kabisa, sifahamu kama aliuza nyimbo zake, lakini kama aliuza basi itakuwa alipitia changamoto za kifedha akaona isiwe kesi yanini kuteseka, hopefully itakuwa ilimuongezea kipato...
 
Ulaya na Marekani kuna tatizo la dawa za kulevya kuliko huku kwetu.
 
Sasa alivyosema atakuwa nae kwq shida na raha hizo ndio shida sasa aache kichefuchefu
 
Back
Top Bottom