Tetesi: Alikuwa kipenzi cha wadada, leo hii hawatamani hata kumuona

Af kule upatikanaji wake una onekena sio mgumu kabisa kama uku

Ulaya na Marekani unapiga simu dakika 10 dealer anakuletea unachotaka. Yaani huko ndio kwenye soko la mihadarati huku kwetu tumeingia kibahati mbaya tu. Halafu sheria za nchi nyingi ni tofauti, kwa mfano Netherlands kutumia cocaine sio case na ukikutwa na chini ya grams 5 unahesabika kama mtumiaji si muuzaji
 
Justine akivuka hapa basi atakuwa imara zaidi ni avuke au aende na maji
 
Ulaya na Marekani unapiga simu dakika 10 dealer anakuletea unachotaka. Yaani huko ndio kwenye soko la mihadarati huku kwetu tumeingia kibahati mbaya tu. Halafu sheria za nchi nyingi ni tofauti, kwa mfano Netherlands kutumia cocaine sio case na ukikutwa na chini ya grams 5 unahesabika kama mtumiaji si muuzaji
Duh kumbe inafaa nitorokee uko
 
Huyu jamaa Kuna chaka aliliingia na wazungu walivyo si wazuri kwa kufake lazima utamgundua tu kuwa hayupo sawa.
 
Back
Top Bottom