Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

ukweli ni kwamba hakuwa na mapenzi ya dhati na mumewe wamwanzo kwani kwenye mapenzi nafasi hupatikana
 
Juma alikua anakula mzigo huo
Sio Juma tu.
Kuna mstaafu mmoja mwandamizi ambaye ilimkosti mpaka kaukosa
uheshimiwa.
Yuko mwingine Sasa sio rahisi kumtaja maana eh.
Halafu huyo mume wake wa kwanza na Juma.
Tuwe tu na roho ngumu maana unaweza kuoa mwanamke la Saba alikua na kijamaa. Fom foo alikua na wajamaa, fom six usiseme, mtaani kwao Kuna sponsor. Huko chuoni usiseme.
Halafu ukimuoa hataki ufaidi michepuko kutwa anavizia simu yako ili mgombane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…