Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kwan huyo ni wa kwanza kufanya hivyo?! Shida yenu huwa mnahisi kuwa unaweza pata vyote once u sell out and give into your selfishness.Zainab nimempenda bure, hii trick nishaichukua, huyu Jamaa akizingua namruhusu aoe halafu na mimi nasepa.....inapunguza lawama ndogo ndogo.
Ukishakuwa binafsi utapata kwa haraka na utakosa kwa haraka. Tazama Jackline tuyabaliwe anavyohangaika hata hafurahii pesa alizotamani mwaka wa ngapi huu tokea mzee mengi afariki.
Anaishi kwa mashaka hana amani maana hajui when is the next attack will come and from what side.
Sasa huyu nae utaona kama hayo maisha atafurahia. Unless kama huyo mume wake wa awali alikuwa anamfanyia uovu ila kama alikuwa anaishi nae kawaida tu bila kumletea shida akamuua kumuacha sababu ya kutokutosheka then huko anapokwenda ni swala la muda atavuna maumivu na atakumbuka alichokosea. Hiyo nakuahidi.
Ukiona ulianza mahusiano na mtu mlikubaliana vizuri tu kwa akili yako timamu kuanza nae maisha then ukamgeuka baadae na kutaka mtengane kwa sababu binafsi then haupo sawa kichwani unahitaji intervention.